Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yule pweza PAUL mtabiri mashuhuri kule Ujerumani aliewahi kutabiri matokea ya world cup amefariki dunia usiku wa jana kwenye Aquarium huko Ujerumani.
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Amakweli Yanga imechagua wahuni kuongoza, Yanga ya sasa imevamia na wahuni ambao wanaharibu jina zuri la klabu yetu, Jana nilijivinjari uwanja wa Mkwakwani Tanga, nilishuhudia timu yangu ya Yanga...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Sir Alex Ferguson has revealed Wayne Rooney wants to quit Manchester United. The Old Trafford boss admitted he was "shocked" and "disappointed" to hear the news but said he had not fallen out with...
0 Reactions
91 Replies
11K Views
Seven dead in Kenya football stampede Football fans at a past match. Seven people are feared dead after a stampede at Nyayo Stadium on Saturday. By WALTER MENYA Posted Saturday...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nilikuwa naangalia taarifa za habari kwenye luninga jana kuhusiana na michezo ya Jumuiya ya Madola, utani pembeni, jamaa wamechemsha vibaya sana. Yawezekana kabisa michezo safari hii isiendelee...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
PWEZA KATABIRI LIVERPOOL BINGWA LIGI YA UINGEREZA MWAKA 2010/11....Kwahiyo wapenzi wa Bwawa la Maini tusiwe na shaka....mwaka huu ni kushangilia kwa sana tu.......!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The Blood and Gold in finals after 10 years… By K.N.S Mensah Oct 17, 2010 9:20:00 PM Tunisian side Esperance Sportive de Tunis made it to their third finals of the CAF...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sababu alizozitoa mshambuliaji wa hatari Wayne Rooney kuwa timu hiyo ya Manchester United haina uchu wa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa kwa kutonunua wachezaji wenye vipaji...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
"....An undercover investigation by The Sunday Times alleged that Amos Adamu, a Nigerian member of the world football governing body's executive committee, asked for 800,000 dollars (570,000...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
PRESIDENT Yoweri Museveni has given Moses Kipsiro sh20m for winning two gold medals from the just-concluded Commonwealth Games in New Dheli, India. The President also promised to build a camp...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kila siku nikifungua katika sehemu hii nipate kujua msimamo wa ligi yetu ya tanzania sioni thread inayozungumzia. utaona mambo ya ligi za ulaya na hasa uingereza naomba tutumie thread hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JEREMY INSON, Associated Press Writer MILAN (AP) ― Cameroon striker Samuel Eto'o responded to racist taunts from Cagliari fans by scoring the only goal as Inter Milan beat Cagliari 1-0...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa kweli wana yanga wenzangu atuna budi kujipongeza kwa kumfunga mnyama kwa mara ya pili na wakati huu tukielekea kupongezana si haba kuchukua maneno ya papic kwamba akuamini yanga ingeza mpira...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtanange wa watani wa jadi Kati ya SIMBA na YANGA utakaopingwa Jmosi utaonyweshwa moja kwa moja (live) na kituo cha Startv kuanzia saa 10 jioni, timu zote zimejinasibu kuwa zimefanya maandalizi...
0 Reactions
144 Replies
17K Views
Baada ya kutesa kwenye mieleka ataweza shuruba za MMA? Dave Bautista talks about MMA and leaving the WWE - ESPN
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimezitazama sana team zote za ligi ya Uingereza mwaka huu hakika kiwango chake kimepungua ajabu..naona Ligi ya Spain na Italia bomba mara kumi. Nachokoza!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unamkumbuka kwa jema lipi ambalo linapaswa kuendelezwa au kwa baya lipi ambalo halitakiwi kurudiwa tena?
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni vute ni kuvute mara wachezaji wamenywanganywa simu mara kambi ulinzi mkali yanga kunako Kirumba majira ya saa kumi tarehe ya 2010-10-16, je yanga watachomokoa mbele ya mnyama aliyetuka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…