Jean Claude Van Dame is 50 years old .

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,749
101020-van-damme-vmed.grid-4x2.jpg
 
Juzi ktk mechi kati ya Chelsea vs Wolves,niliona Wolves nao wana mchezaji anaitwa Van Damme(yeye anaitwa Jelle Van Damme)
kuna Mcongo Zaire 1 alishaniongopea zamani eti Jean Claude Van Damme alizaliwa Kinshasa,mhh na mimi nikamuamini wakati ule nilipokuwa kwetu kihansi maana sikuwa na mtandao wa kuthibitisha wala sikuwa na ujanja wa kudai risiti enzi hizo,nikikumbuka yule mcongo uwa nachekesha mwenyewe maana alituongopea karibia wote mimi na wanakijiji wenzangu wa eneo hilo tulimuamini sana na tulikuwa tunamuona yeye ndie anajua vitu vingi hakosei.
 
Back
Top Bottom