Yanga wageuzwa kitoweo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga wageuzwa kitoweo

Discussion in 'Sports' started by safariwafungo, Oct 15, 2010.

 1. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni vute ni kuvute mara wachezaji wamenywanganywa simu mara kambi ulinzi mkali yanga kunako Kirumba majira ya saa kumi tarehe ya 2010-10-16, je yanga watachomokoa mbele ya mnyama aliyetuka kwenye swaumu au ndo atageuzwa kitoweo?
   

  Attached Files:

 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Yanga wataondoka na Ushindi wapi Baba _Enock?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mpaka sasa Tayari Simba kesha lia 3-0 hakuna ubishi kesho Simba lazima alowe.
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wapi shekhe yahaya awape ushindi usioonekana?
   
Loading...