Maximo.......je unamkumbuka kwa lipi?

Maximo atakumbukwa kwa jinsi alivyokazania suala la nidhamu kwa wachezaji,jambo ambalo ni msingi mkubwa kabisa kwa mwanasoka yoyote.
 
Mi namkumbuka kwa jinsi alivyokuza soka la Tanzania. Nakumbuka kabla hajaja tulifungwa 5 bila na Kenya pale Sheikh Amri Abeid Arusha.
Leo Tanzania sio timu dhaifu kiasi cha kudharauliwa.
Muziki tuliowaonyesha Cameroun na Senegal ni kazi ya Maximo
 
Mkuu kwa mema ya Maximo sidhani kama utapata wachangiaji wengi, may be ingekuwa kinyume chake
 
Kwa msimamo thabiti katika kile alichokiamini kina manufaa katika kazi yake..!
 
Majani boys, Boban na Chuji aliwakataa.
Siku chache baada ya kutimuliwa kwenye kikosi cha stars, Chuji alichemsha vibaya sana kwenye mechi ya Simba na Yanga.
Alicheza kwa dakika kumi na tatu tu huku aking'aa macho uwanjani. Huenda siku hiyo alivuta kiroba kizima cha manyasi
 
namkumbuka kwa kumfukuza boban akiwa hana nidhamu na yeye kurudishwa nje kwa utovu wa nidhamuMAXIMO MAJANI MOSHI kazi kweli kweli
 
namkumbuka maximo kwa kuwa na KINYONGO na WIVU wa KIKE...kambania J KASEJA mwanzo mwisho wakati dunia nzima inajua kaseja ni tanzania one...matokeo yake tukapigwa 5-1 na brazil chovu ya Dunga

pia namkumbuka kwa kuhimiza nidhamu timu ya taifa wakati yeye mwenyewe "MAXIMO" hana hiyo nidhamu anayohubiri...kwa ufupi namkumbuka KAMA MNAFIKI FLANI ALIYEITUMIKIA TIMU YA TAIFA KWA FUNGU KUBWA KULIKO KOCHA YEYOTE MZAWA"....BILA MAFANIKIO YA KOMBE HATA LA KUKU
 
Na kwa ujasiri wake wa kupingana na timu ya waandishi na wachambuzi wa soka bovu la bongo ambayo inahusu maslai binafsi ya Ulion Na Uyebo bila kuweka maslai ya taifa kwanza.Kwani Stars bila Kaseja haiwezekani?
 
Kaseja ni mbovu tu, kama alipigwa tano na Waarabu wa Misri kwa Wabrazili si angepigwa kumi.
Simba iliyofungwa na Waarabu ilikuwa haijapoteza hata mechi moja ya ligi hapa BONGOLAND
namkumbuka maximo kwa kuwa na KINYONGO na WIVU wa KIKE...kambania J KASEJA mwanzo mwisho wakati dunia nzima inajua kaseja ni tanzania one...matokeo yake tukapigwa 5-1 na brazil chovu ya Dunga

pia namkumbuka kwa kuhimiza nidhamu timu ya taifa wakati yeye mwenyewe "MAXIMO" hana hiyo nidhamu anayohubiri...kwa ufupi namkumbuka KAMA MNAFIKI FLANI ALIYEITUMIKIA TIMU YA TAIFA KWA FUNGU KUBWA KULIKO KOCHA YEYOTE MZAWA"....BILA MAFANIKIO YA KOMBE HATA LA KUKU
 
namkumbuka maximo kwa kuwa na KINYONGO na WIVU wa KIKE...kambania J KASEJA mwanzo mwisho wakati dunia nzima inajua kaseja ni tanzania one...matokeo yake tukapigwa 5-1 na brazil chovu ya Dunga

pia namkumbuka kwa kuhimiza nidhamu timu ya taifa wakati yeye mwenyewe "MAXIMO" hana hiyo nidhamu anayohubiri...kwa ufupi namkumbuka KAMA MNAFIKI FLANI ALIYEITUMIKIA TIMU YA TAIFA KWA FUNGU KUBWA KULIKO KOCHA YEYOTE MZAWA"....BILA MAFANIKIO YA KOMBE HATA LA KUKU[

dunia haimjui kaseja bwana acha kuutia aibu ulimwengu wa soka, isitoshe kufungwa tano na timu iliyokuwa inashika na nafasi ya kwanza kwa ubora duniani siyo ishu,mbona huyo kaseja mwenyewe alipigwa tano na wale wadudu wachovu wa misri,

acha kuleta comment za usimba na uyanga.

maximo yuko juu hata kama humpendi eti kwasababu ya kaseja. kaseja ndo nani? kashaidakia timu ya taifa mara kibao tu hata kabla ya maximo bila ya mafanikio yoyote.
 
U'simba na U'yanga kila sehemu!!
 
Nimekumbuka hii moja kubwa

NI KOCHA WA KWANZA TANZANIA KUFUNDISHA SOKA KWA KUTUMIA MTANDAO WA KOMPUTA.
 
Emphasized youth development, discipline, diet, weight training... basically tried to make Tanzanian football more professional.

Overall he did the best he could with what he had.
 
namkumbuka maximo kwa kuwa na kinyongo na wivu wa kike...kambania j kaseja mwanzo mwisho wakati dunia nzima inajua kaseja ni tanzania one...matokeo yake tukapigwa 5-1 na brazil chovu ya dunga

pia namkumbuka kwa kuhimiza nidhamu timu ya taifa wakati yeye mwenyewe "maximo" hana hiyo nidhamu anayohubiri...kwa ufupi namkumbuka kama mnafiki flani aliyeitumikia timu ya taifa kwa fungu kubwa kuliko kocha yeyote mzawa"....bila mafanikio ya kombe hata la kuku

ntakumbuka kwa ukweli halisi juu ya kaseja matokeo yake akafungwa 5 kule misri na watanzania wakaendelea kukaa kimya na kujuta makelele yao juu ya maximo...insuch alileta nidhamuuuuuuuuuuuuuuuuuu hasa wale wapenzi wa majaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii walishindwa kabisa kuleta ufalme wao na kuishia kwenye ligi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom