Utabiri wa pweza -ligi ya england | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri wa pweza -ligi ya england

Discussion in 'Sports' started by Panga La Shaba, Oct 22, 2010.

 1. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  PWEZA KATABIRI LIVERPOOL BINGWA LIGI YA UINGEREZA MWAKA 2010/11....Kwahiyo wapenzi wa Bwawa la Maini tusiwe na shaka....mwaka huu ni kushangilia kwa sana tu.......!
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Ninaomba unipe website ya kulithibitisha hili. Maendeleo ya Liverpool ni mabaya sana na sijasikia kwenye chombo chochote cha habari juu ya hili...please for our good....................
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu sio pweza lazima atakuwa sheikh yahaya
   
Loading...