Paul the octopus found dead

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Yule pweza PAUL mtabiri mashuhuri kule Ujerumani aliewahi kutabiri matokea ya world cup amefariki dunia usiku wa jana kwenye Aquarium huko Ujerumani.
 
wacha afe tu... yeye na wenzake wenye tunguvu twa giza wanaharibu dunia
 
Oh!maskini,bwana ametoa,bwana ametwaa,jina la bwana lihidiwe!!!.Je alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani au wajerumani wamemuua kwa makusudi?
 
Habari kwenye SKY SPORTS NEWS now Paul the Octopus passed away today.
Source: SKY SPORTS NEWS.
 
Oh!maskini,bwana ametoa,bwana ametwaa,jina la bwana lihidiwe!!!.Je alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani au wajerumani wamemuua kwa makusudi?
 
Nilijua tu! Nilijua tu! Hawa SiSieM wanamkono mrefu hadi kwenye uchaguzi wa pweza! Waliona ile picha ya pweza kuchagua CDM wakaamua kumKoli...

Hawa jamaa c wapendi kabisaaa....
 
Marekebisho kidogo, siyo kwamba AMEFARIKI DUNIA bali AMEKUFA. Wanaofariki ni binadamu!
 
Pweza anapofariki....wapi BAKITA...acha kuchakachua lugha banaaaa!
 
Paul was found dead in his tank Tuesday morning by “devastated” staff at the Oberhausen Sea Life Aquarium, a statement read. He died peacefully overnight, the statement added.

He was two years and 10 months old.

“Paul predicted his way into the hearts of audiences during the football World Cup 2010 and earned world fame as an octopus oracle,” the aquarium statement read.

Quick to head off any suspicions of foul play or neglect, general manager Stefan Porwoll, said: “He died peacefully in the night of a natural death. It is a comforting thought that he had a good life with us, with the best possible care by a dedicated team.”

Porwoll added: “Paul inspired people on all continents, as he correctly predicted, one after another, seven matches for the German national team as well as the final. He was dear to all our hearts and we will miss him painfully.”

Paul’s body is now in a refrigerator and is expected to be cremated in the next few days.
 
Back
Top Bottom