Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Dakika ya 18 Simba 1-Azam 1 Goli la Simba-Mgosi,Azam- John Bocco.. mpira ni mkari mno..Ufundi wa hali ya juu...! Azam full kiwango
0 Reactions
8 Replies
5K Views
jaman man utd inatisha..!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF cpend kuwa muongo mana leo mech zitakazocheza leo iwapo ARSENAL akashnda na MAN-U,-CITY wakatoa draw bac mkaemkijua kuwa ndo bac tena arsenal bingwa wa ligi na hvyo ndivyo ilivyo kama vp...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inasikitisha kuona timu ya AFC ni kichwa cha mwendawazimu katika ligi kuu ya bara.kibaya ni ukata uliokumba timu hii kiasi cha kushindwa kuweka kambi. Ma tycoon wa arusha mmeishiwa nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baadhi ya wachezaji wa DRC wamesema Tanzania "Taifa Stars" ilistahili kucheza nusu fainali, lakini wachezaji wake wamejaa utoto mwingi na hawajali kazi yao katika michuano ya bonde la mto nile...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Simba ni bora kuliko yanga if you watch how simba play, 1-1 na wabrazili yanga walichapwa tatu. kinachokosekana nchini kwenu ni timu kuwa na viongozi wenye tija na kuleta maendeleo yale yale ya dowans
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nuggets fans' boos may seal Anthony exit: Bryant Last Updated: Friday, January 21, 2011 | 12:25 AM ET The Associated Press Carmelo Anthony's trade to the New Jersey Nets was nixed by...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Woote walikuwa drafted mwaka jana whats wrong with the thabust? mwenzake kila siku ana shine Clippers......
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa tafsiri yako huyu jamaa vipi hapo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yanga ni timu ghali kuiona laki 2 lakini SIMBA bure free kabisa hii inamaana simba haina thamani au vipi? Mimi ni mshabiki wa Simba. POLENI WANA SIMBA WENZANGU TUMEKOSA KWENDA BRASIL :msela:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Footballers are already stereotyped as being a bit underwhelming in the brains department and this really isn’t going to help their cause one little bit. As if leaving the car abandoned for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
yes count down is on , rugby world cup 2011.. 9 SEPTEMBER -23 OCTOBER POOLS POOL A...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Messi kwa kweli anaitafuna La Liga kama vile ni Ligi Kuu ya Shangazi yake, kila mwisho wa wiki ana mabao mawili au matatu, na Barca hawapitishi wiki bila kupiga mtu 4 au zaidi. Nadhani Messi aende...
0 Reactions
79 Replies
6K Views
wakubwa habari zenu leo nami ni mmoja wenu mpya ktk blog nipokeeni tafwadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauliza jamani hii timu iliyokuja ndio yenye maana inaonyesha leo wanacheza kwao na Corithians muda wa saa 10:30 za Brazil kwa kuangalia vizuri gonga hapa CA Paranaense - Results, fixtures, squad...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MFADHILI na mdhamini wa klabu ya soka ya Yanga Yusuph Manji yuko mbioni kuinunua timu ya TMK United endepo timu hiyo itafanikiwa kuwa miongoni mwa timu nne zitakazopanda na kucheza ligi kuu msimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa soka kuna gemu kali kinoma (japo Taifa Stars tumetolewa) ya nusu fainali kati ya Kenya na DR Congo mwaweza kucheki live katika link hii hapa.... YaSports : Watch All Sports Live Online...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taifa Stars a.k.a JK eleven, wameshindwa hata kupata milioni 40 za mshindi wa tano baada ya kuchapwa na Sudan 2 - 0. Tunaweza nini wandugu? sio tetesi jamani ni kweli, sorry kwa neno tetesi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye matokeo, please atafahamishe, mechi ilikuwa ianze saa 9.00 mchana kule Misri, kutafuta mshindi wa tano.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom