Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Blackpool beat Liverpool hili chama lzima kun awatu kama mimi watakuwa wanalipenda sana tu mwanzo mwisho
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ulikuwa mchuano mkali kati ya wachezaji watatu wa timu ya barcelona ( Messi, Xavi na Iniestana) kocha wao ndo aliyekabidhi tuzo. Mourinho atwaa tuzo ya kocha bora
0 Reactions
61 Replies
7K Views
MVUA kubwa iliyokuwa ikinyesha bali ni manyunyu, lakini hali hiyo ilisababisha mchezo kati ya Taifa Stars na Sudani uliokuwa ufanyike jana ukwame. Taifa Stars na Sudani zilitarajiwa kuumana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"TUNAJUA matokeo yetu yamewanyong'onyesha Watanzania, hatutawaangusha tena, tutaifunga Uganda na kufuzu nusu fainali," hiyo ni kauli ya nahodha wa Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa akizungumzia...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KIPIGO cha mabao 5-1 ilichokipata Taifa Stars kutoka kwa timu ya taifa ya Misri, Pharaos, kimesababisha madhara makubwa katika ngazi za ubora wa viwango vinavyotolewa na shirikisho la soka la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hii iatokana na ukweli kuwa baadhi yao wanashindwa kabisa kufuata maadili na misingi ya usomaji ikiwa ni pamoja na kuwa biased,kutokuwa na ufahamu wa michezo na matamshi mabovu..karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wachezaji wamevaa jezi zenye nembo ya Kilimamjaro Premium Lager.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Priskin wa ipswich awaliza arsenal, ni ktk carling cup mzunguko wa kwanza
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Wanamichezo wenzangu kunatetesi ya kwamba SIMBA NI BINGWA katika final hii kama kawaida ye2 na anamfunga yanga goli 3 bila
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Simba 1 - 0 Yanga (Musa Mgosi) Kombe la Mapinduzi. Uwanja wa Amani.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ITV hivi sasa wameimprovu katika taarifa zao za habari, na hasa habari za michezo, sio kama zamani ambapo habari zilizotawala zilikuwa za michezo ya mchangani!
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau Stars na Uganda imeishaje huko Misri?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bora huyu mara mia, alitutoa mbali sana......... kuliko huyu aliyeonesha kubahatisha 'challenge'
0 Reactions
4 Replies
2K Views
haya jamani msimamo ndio huo
0 Reactions
0 Replies
10K Views
wazee nipeni link
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wow..leo siku yangu imeenda vizuri sana na kazi nachapa ile mbaya hapa ofisini baada ya kupata taarifa ya kua Roy hogdson amefukuzwa kazi. Kenny Daglish amepewa nafasi ya kuiongoza liverpool...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jumapili apange kikosi kamili au aweke yosso kwenye FA cup?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIPIGO cha mabao 5-1 ilichokipata timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ juzi kutoka kwa Misri ‘Pharaos’ kimetokana na sababu tano za msingi, huku kikiwa kimemchanganya Kocha Mkuu, Mdenish Jan...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
M/kiti wa Simba SC Ismail Rage ametuibia siri kuwa timu ya APR ya Rwanda ndo kiboko ya timu ya TP mazembe, japo hajatuambia wamekutana na kufungana au kudraw mara ngapi.Mazembe ndo mabingwa wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom