pamoja na ushindi YANGA turekebishe mpira wetu!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,131
kwa kweli wana yanga wenzangu atuna budi kujipongeza kwa kumfunga mnyama kwa mara ya pili
na wakati huu tukielekea kupongezana si haba kuchukua maneno ya papic kwamba akuamini yanga ingeza mpira mbovu kama ule..akika ni wakati wa kutengeneza kikosi chetu ..si mbaaya kumpongeza tegete ila safu ya ushambliaji nao tujirekebidhs
 
saaaaana tu mkuuuu. Timu zetu bado zinachangamoto nyingi ambazo zimekuwa kama wimbo. Hazitatoweki hizo changamoto kila mwaka ndo wimbo huo huo. Nashindwa kuamini kuwa hivi kweli sisi hatuwezi kuwekeza katika mpira ndani ya club kama hii yetu ya Yanga na kuweza kuwa tishio kwa kutandaza soka safi la kuvutia badala ya kutegemea mitunguli ya mizizi.

Najua kuna sehemu watu hawawajibiki sawa sawa, hebu tubadilike basi kwa kasi ya ajabu, na tuwe kama tunataka mapinduzi katika mpira kwa kufanya kazi kwa nguvu na kujaribu kila aina ya mbinu kwa vitendo.

Najipongeza pia kwa kumla mnyama na kubakisha manyoya tu pale Kirumba Stadium.
 
naungana na wapenzi wote wa soka la Tanzania kuipongeza timu yetu, was so happy weekend yangu imekuwa burudani kubwa
 
hamna lolote nyie mumshukuru Mungu tu ila kimpira mpo chini sana

it is ma hope that the only team in tanzania that plays football with a style, wana lunyasi ,wekundu wa msimbazi the mighty SIMBA SPORTS CLUB, will bounce back from this slippery n tutatwaa ubingwa tena

SIMBA nguvu moja
 
hamna lolote nyie mumshukuru mungu tu ila kimpira mpo chini sana

iy ma hope that the only team in tanzania that plays football with a style, wana lunyasi ,wekundu wa msimbazi the mighty simba sports club, will bounce back from this slippery n tutatwaa ubingwa tena

simba nguvu moja

tuko pamoja
chenga tuliwala
bahati haikuwa yetu
 
tuko pamoja
chenga tuliwala
bahati haikuwa yetu

huo ndio ukweli mkuu, naamini hata wenyewe wanajua
jambo pekee kwetu ni kuomba wachezaji wasiathirike kisaikolojia, tuombe walio majeruhi wapone haraka ligi bado ndefu sana

watani wakaze buti na washukuru hawana majeruhi makubwa ila mpira wao hauvutii sikuzote na ndo mana wanachemsha sana nje ya bongo
 
hamna lolote nyie mumshukuru Mungu tu ila kimpira mpo chini sana

it is ma hope that the only team in tanzania that plays football with a style, wana lunyasi ,wekundu wa msimbazi the mighty SIMBA SPORTS CLUB, will bounce back from this slippery n tutatwaa ubingwa tena

SIMBA nguvu moja

kweli Mungu ashukuriwe lakini washambiki wa mnyama inabidi
wamshukuru Mungu kwa timu yao kutopata kipigo zaidi lol.

yanga rekebisha makosa ili muweze kupata
ushindi unaoambatana na kutoa burudani kwa watazamaji.

 
Tangu nianza kuiona Yanga miaka ya 80 haijawahi kucheza mpira wa kuvutia compared to Simba. Ndiyo, imekuwa ikibahatisha kusajili wachezaji wazuri lakini kama timu bado sijaona ..
 
Back
Top Bottom