Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

The draw: Algeria v Zambia Morocco v RD Congo Congo v win Cote d’Ivoire/Liberia Gabon v Mali Sudan v Egypt Benin v South Africa Tunisia v Senegal Tanzania v Nigeria The 16th qualified...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mafanikio yaliyofikiwa na timu yetu ya taifa vijana kwa kuitoa CAMEROON.na kuweka historia mpya ya soka nchini,kocha mzawa JAMHURI KIHWELU apewe mkataba rasmi na TFF na hii itawapa motisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Bonyeza hapa. YouTube - Pepe kalle- Young africa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napata hisia kuwa yanga isingekuwa timu nzuri basi leo ubingwa ungekuwa wa simba. Kwanza nianze na Star t.v-hawa walisema watatuonyesha mambo yanavyojiri kwenye viwanja vya taifa na...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
LONDON, England KOCHA Carlo Ancelotti amekiri kuwa Chelsea inatakiwa kubadilika haraka kama wanataka kuendelea kubadi kwenye Ligi ya Mabingwa hapo kesho watapocheza dhidi ya Manchester United...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi ningependa kufahamishwa juu ya sheria na taratibu zinazozingatiwa wakati wa kampeni za kufuzu na fainali zenyewe kwa mashindano yanayozingatia umri.Hivi majuzi tu kulikuwa na hoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yaani sijawahi kufuatilia ligi. Lakini jana nikajikuta na haha kupiga simu kwa wadau mbalimbali ili kupata matokeo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...Yule mshambuliaji wetu hatari Ngasa alichaguliwa kukipa nguvu kikosi chetu cha Manyara Stars(U-23) lakini cha kushangaza hata kwenye orodha ya wachezaji waliotakiwa kulitetea Taifa letu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya sasa wana arsenal,stan kroenke,mfanya biashara wa kimarekani amenunua 16.1% ya hisa za lady nina bracewell-smith na 15.9% za danny fiszman na hatimaye kufikisha 62% ya umiliki katika club ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAO la kisigino la kiungo wa Yanga, Nurdin Bakari lilitosha kufuta ndoto ya Simba ya kutetea ubingwa wake pamoja karamu ya mabao 4-1 dhidi ya Majimaji na kutawala kadi nyekundu na kwenye Uwanja wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...WanaJF tupeni updates za game la Cameroon na Manyara Stars... wengine presha inapanda na kushuka....
0 Reactions
148 Replies
13K Views
Hureeeeeeeee!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi, tujadili hili: Hivi TFF imejipanga vipi kukabiliana na uwezekano wa suala la kupanga matokea katika mechi mbili zihusuzo watani wa jadi -- Simba na Yanga leo? Nasema hivi kwani uko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo Vijana wametufurahisha sisi wapenda ushindi kwa timu zetu za Taifa, ikizingatiwa tumeitoa timu ya taifa ya vijana ya Cameroon...., Mashabiki leo ndio wameonyesha kuwa sasa hawataki kuonewa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabingwa wa dunia wa Formula 1 msimu uliokwisha wanaonyesha dhahiri kuwa msimu huu pia watakuwa moto wa kuotea mbali. Mie ni mshabiki wa Ferrari ningependa ifanye mambo yake lakini naona kama wana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
...................Manyara Stars 4 vs Cameroon 3 kwa penati................BRAVO MANYARA STARS...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DUNIANI kuna michezo mingi inayopendwa kuchezwa na watoto ikiwa kama sehemu yao ya kujiburudisha, kujifurahisha na kutengeneza undugu na urafiki wa dhati baina yao. Tanzania mchezo unaopendwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vialli open to Juve call hehehe this is good news for Juve & Seria A funs!! Former Chelsea boss Gianluca Vialli has revealed he would be interested in the Juventus job if they came calling...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
...Wale wanaJF ambao mmekuwa mkifatilia soka letu la Tanzania linalokua kwa kiwango kinachoridhisha,hivi kati ya JUMA KASEJA JUMA na SHAABAN KADO nani zaidi....?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama mpenzi wa mpira nimeshangazwa na shortlist ya PFA Award ya msimu huu. Waliochaguliwa ni (seniors) Samir Nasri, Charlie Adam, Carlos Tevez, Gareth Bale, Scott Parker na Nemanja Vidic...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom