Nilibahatika kuangalia mechi ya simba na tp mazembe pale uwanja wa Taifa,kwa kweli pamoja na simba kufungwa lkn nilikuwa na furaha kubwa sana cku ile kutokana na na performance iliyoonyeshwa na...
Wakati nafuatilia habari za michezo kupitia taarifa ya habari ya channel ten mtangazaji alidokeza kuwa kuna shabiki mmoja alichomwa kwa kisu na kufa kariakoo kutokana na ushabiki baaada ya mechi...
Ni moja kati ya wachezaji mahiri na mwenye uwezo mkubwa ambaye ukimtazama jinsi anavyopokea mpira na kutoa pasi na anavyojiweka katika nafasi pia uwezo mkubwa wa kuwa na mpira mda mrefu.
My...
Heshima mbele wakuu.naomba kujuzwa ni station gani ya tv inarusha live hili tukio na muda plse ili sie wa mikoani tuweze shuhudia.nawatakia jumapili njema
Manofu, Pawassa, Mahadh, Lunyamila walipotonesha donda la Watanzania
.Ni katika mechi ya Veterans wa Simba, Yanga U/Taifa
.Wapeleka uhondo Dodoma Machi 27
NA MICHAEL MAURUS
MASHABIKI wa...
Ni ktk mechi ya pili ya ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A.
Milan tuko mbele ya Inter kwa tofauti ya pointi mbili.
Mechi ya kwanza iliyokuwa chini ya Inter, tuliweza kuwafunga kwa Goli 1-0...
KOCHA wa Simba Patrick Phiri amesema kikosi chake kitatumia mfumo wa kushambulia kwa kasi lakini kwa tahadhari mno ili kuepuka wapinzani wao TP Mazembe wasipate bao katika pambano lao la...
Ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu hapo kesho dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati,wachezaji wamewekwa kambini hapo Atriums Hotel Sinza lakini cha kushangaza jana jioni kwa geti la nyuma wachezaji hao...
Wakuu mnaofuatilia kabumbu. Kuna wakati hapa Jamvini watu walimponda sana MAXIMO kuwa ndio kikwazo kwa maendeleo ya soka, nakumbuka hata mwanasoka mmoja aliingia jamvini na kumponda Maximo...
habari za saa hizi jamani,naombeni mnisaidie kuna mtu nabishana nae hapa,kati ya mwaka 2001 au 2002,simba ilicheza na timu moja kutoka misri,harafu mvua ikanyesha wakati simba inaongoza goli...
Maelfu ya raia wa Mali walijitokeza kuishangilia timu ya Libya katika kufuzu kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwenye mji mkuu wa Mali.
Mashindano hayo yalifanyika Bamako kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.