Red Bull bado itatamba F1 msimu huu

mwanapolo

Senior Member
Mar 29, 2011
193
56
Mabingwa wa dunia wa Formula 1 msimu uliokwisha wanaonyesha dhahiri kuwa msimu huu pia watakuwa moto wa kuotea mbali.
Mie ni mshabiki wa Ferrari ningependa ifanye mambo yake lakini naona kama wana mlima mrefu wakupanda ili kufikia Red Bull walipo. Mclaren nao wanatishia usalama wa Ferrari kutamba, ingawa Alonso anahakika gari ya Ferrari itarekebishwa zaidi ili iweze kushindana kwa kiwango cha juu.
Ngoja tusubiri Malaysian Grand prix tuone kama Ferrari wame-improve kiasi gani kwani walikuwa na gap ya 1sec per lap to Red Bull!
 
Well, F1 ndiyo imeanza tu kwahiyo tusikilizie GP zinazokuja mana safari ndefu..unamwona Hamilton lakini,I'm for McLaren!!!
 
Well, F1 ndiyo imeanza tu kwahiyo tusikilizie GP zinazokuja mana safari ndefu..unamwona Hamilton lakini,I'm for McLaren!!!
Hamilton yuko juu ki-ukweli hope next year atakuja Ferrari nawe utahama huko kuja Ferrari!
 
Hamilton yuko juu ki-ukweli hope next year atakuja Ferrari nawe utahama huko kuja Ferrari!

Akija Ferrari, I will definitely join him!! ha ha
Tusikilizie Malaysia Grand Prix tomorrow...Hamilton anaanza wa pili nyuma ya Vettel!!
Kibunango wa JF sijui yu wapi siku hizi, Ferrari damu nae!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom