Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wanajamvi, Jana nlikuwa nikiangalia taarifa anuai za fainali ya michezo/matamasha ya pasaka Kilichonisikitisha ni kwa Timu ya Tanzania kushika mkia kwenye mchezo wa DARTS Duu ina maana sisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Timu ya arsenal imetimia miaka sita (misimu sita) bila kuchukua kikombe chochote. Kwa takriba misimu minne iliyopita timu hiyo imekuwa ikianza na kasi ya ajabu na kuonesha dalili ya kuchukua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani angalieni tbc1 kisha tujadili.Wajanja wamemzunguka mwenyekiti kabla mkataba wa mwanzo haujaisha wamesaini mwingine kwa kodi sh laki 2 kwa mwezi badala ya 1.2m, ni kama vile TICTS...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
tff ilielekeza vilabu vyote viajiri wasemaji wao lakini hivi karibuni naona hii haifanyiki hasa klabu ya simba. Sasa hivi kila kitu utamuona mwenyekiti wao anauza sura kwenye vyombo vya habari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukifutilia kwa makini unaweza kubaini hili: Vyombo vya habari vya Tanzania hasa FM redios zina mchango mdogo sana kuhusu maendeleo ya soka la hapa nyumbani. Mara nyingi ukisikiliza radio kama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo yamezidi kuiendea kombo timu ya arsenal baada ya leo kufungwa goli 2 kwa 1 na kupoteza kabisa ndoto za ubingwa msimu huu. Sasa imetimia miaka sita bila timu hiyo kupata ubingwa wowotea. Ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
There is this song sung by daniel bendedfield"if ur not the one" i wish friends u can listen it.i lyke it.yani u just miss the one u love.nd if u brokeup u jus feel lyke u going back 2 each other
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KIPA wa Simba na timu ya taifa 'Taifa Stars', Juma Kaseja amesema hawezi kuzungumza chochote juu ya suala lolote linalohusu klabu yake au timu ya taifa. “Nimeamua kufumba mdomo na kuuchunga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Thursday, 21 April 2011 09:27 Clara Alphonce Mrisho Ngasa MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga anayekipiga Azam FC, Mrisho Ngassa amesema yuko tayari kurejea Yanga lakini endapo tu viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
18 April 2011 A TURKISH firm, Petroland Alliance Company, has set up a budget estimate of US 50m dollars for construction of a new stadium for the Mainland soccer giants, Simba Sports Club. The...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Soka linamengi sana na kila mtu hupata msisimko kulingana na jinsi anavyoona soka linachezwa ,kunatimu zinaamini katika kupasiana mpira hadi pasi mia 9 na kuendelea ,Kunatimu huwa na wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
pata zaidi hapo.... Adam Nditi - TheChels.info - The Chelsea Football Club Wiki
0 Reactions
6 Replies
4K Views
By DAILY NEWS Reporter, 19th April 2011 THE Tanzania Amateur Netball Association, CHANETA is staggering from the unprecedented departure of the national team coach Australian Simone McKinnis...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From MARC NKWAME in Arusha, 20th April 2011 MEMBERS of the ‘oldies’ soccer team, the Wazee Sports Club from Arusha, will be touring the spice Island of Zanzibar throughout this Easter Season...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By MUHIDIN ISSA MICHUZI, 20th April 2011 THE Okinawa Goju Ryu Karate-Do association in Tanzania on Tuesday night celebrated its 38th anniversary with a grand demonstration that saw four senior...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Scotsman Newspaper Published Date: 20 April 2011 FORMER Hibs and Kilmarnock boss Bobby Williamson appears to be persona non grata in Tanzania after he was accused of bribing the referee in an...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Nizar Khalfan ataiongoza timu yake ya Vancouver Whitecaps itakapoikabiri Manchester City kwenye mchezo wa kirafiki hapoJulai 18. Khalfan ambaye amefanikiwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Geoffrey Mutai runs fastest ever marathon in Boston Monday, 18 April 2011 18:52 UK Mutai finished in two hours, three minutes and two seconds...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ABINGWA wa Afrika, TP Mazembe wameendelea kuisambaratisha Simba baada ya kumnasa Mbwana Samata kwa Shs 150m, sasa wamemgeukia kiungo wa klabu hiyo Patrick Ochan anayetarajia kuondoka wiki ijayo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Yaani ni kama ilivyokuwa kwa Cameroon; kuna matumaini hawa nao tutawatoa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom