Mashindano yanayozingatia umri,sheria zake vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashindano yanayozingatia umri,sheria zake vipi?

Discussion in 'Sports' started by Ulimakafu, Apr 11, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi ningependa kufahamishwa juu ya sheria na taratibu zinazozingatiwa wakati wa kampeni za kufuzu na fainali zenyewe kwa mashindano yanayozingatia umri.Hivi majuzi tu kulikuwa na hoja mbalimbali kuhu umri wa baadhi ya wachezaji (hasa Mrisho Ngassa) katika michuano kufuzu-under 23 kwa Olyimpics Games.Haya huku yakiendelea-achilia mbali kuchomekea vijeba.Under 21 ya Ulaya kule Denmark baadae mwaka huu,na hata katika hatua za kufuzu,baadhi ya nchi, England ikiwemo imekuwa ikichezesha wachezaji walio na umri zaidi ya huo,madhalani akina Fabrice Muamba, Mancienne,Andy Carrol,Jame Vaughan,Hooper,Lee Cattermole, Naughton,,Loach,Scott Sinclair.Micah Richards,Michael Johnson,Mark Davies, Frank Fielding etc ni miongoni mwao. Sheria na taratibu zinakuwaje?Nawasilisha.
   
Loading...