Bravo manyara stars............................................. .

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...................Manyara Stars 4 vs Cameroon 3 kwa penati................BRAVO MANYARA STARS...
 
Bravo!! vijana wa Julio, Julio anajua kucheza na saikolojia ya wachezaji. TFF wangekuwa makini na wanathamini mchango wa makocha wazalendo, makocha kama Jamhuri Kihwelo, wangepelekwa ulaya na kupata kozi zaidi ya ukocha ..na kisha kuingizwa katika benchi la ufundi la timu ya taifa.
 
Duuh!!!!! Safi sana... HAWA VIJANA WALIKUNYWA VIKOMBE VYA BABU NINI??????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom