Imekuwaje kwa Khalfan Ngassa leo?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Yule mshambuliaji wetu hatari Ngasa alichaguliwa kukipa nguvu kikosi chetu cha Manyara Stars(U-23) lakini cha kushangaza hata kwenye orodha ya wachezaji waliotakiwa kulitetea Taifa letu hakuwepo...najiuliza kunani? Au walihisi yanaweza kutupata ya Nurdin Bakari kipindi cha FAT ya Muhidin Ndolanga...?
 
Nyepesi nyepesi nilizozipata ni kuwa alienda kucheza "Bonanza" siku tatu kabla ya leo akaumizwa.
 
kwani mtoto hawezi kuwa na mtoto? Wangapi wanazaa wakiwa under 18?
 
wachezaji wa kitanzania wengi hudanganya umri...hebu piga mahesabu kwa Ngasa, Amemaliza lini shule na akiwa na miaka mingapi, kachezea miaka mingapi pale kagera Sugar, Yanga na Sasa Azam, kaaoa akiwa na umri gani?
 
Haiingii akilini, dat means alianza kucheza soka la kulipwa akiwa under18?. Je sheria ze2 znaruhusu? Naomba muongozo.
 
jack wilshere,aaron ramsey,wayne rooney,kaizer moutang junior,mohammed banka nk.wote wameanza kung'ara wakiwa na wastani wa miaka kumi na sita hivi,so, inawezekana jombhaa!
 
wachezaji wa kitanzania wengi hudanganya umri...hebu piga mahesabu kwa Ngasa, Amemaliza lini shule na akiwa na miaka mingapi, kachezea miaka mingapi pale kagera Sugar, Yanga na Sasa Azam, kaaoa akiwa na umri gani?

mtoto wake wa kwanza ana miaka 5, so alioa ana miaka 18, na O'level kamaliza ana miaka 18. Ameshasheza ligi kuu misimu 6. akili kichwani Bongo daresalama.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom