TFF, VODACOM, STAR T.V walipanga kuihujumu Yanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF, VODACOM, STAR T.V walipanga kuihujumu Yanga?

Discussion in 'Sports' started by kipindupindu, Apr 10, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Napata hisia kuwa yanga isingekuwa timu nzuri basi leo ubingwa ungekuwa wa simba.

  Kwanza nianze na Star t.v-hawa walisema watatuonyesha mambo yanavyojiri kwenye viwanja vya taifa na kirumba.lakini waliishia kutuonyesha taifa peke yake.
  Pili kwa wandaaji wa ligi kuu ambao ni TFF na Vodacom,hawa wameleta kichefuchefu sana,sijui ilikuaje kombe likapelekwa uwanja wa taifa wakati bingwa angeweza kutokea kirumba au taifa?isitoshe uwezekano wa yanga kuchukua ubingwa ulikuwa mkubwa kulinganisha na simba.
  Kilichoudhi kabisa ni jinsi kombe lenyewe pamoja na stage kupambwa kwa rangi nyeupe na nyekundu(rangi za simba s.c)
  huu ni ufisadi mnaohusika jirekebisheni!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  usihofu kijana kombe ni lenu
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nadhani baada ya haya matokeo watajibeba
  Hata Kombe liandikwe Aden Rage bado litaenda Jangwani
   
 4. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu inauma ati,yaani ubingwa wa yanga haujasisimua nchi kabisa!
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Rangi nyekundu na nyeupe ndizo rangi mpya za vodacom........
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  tukiweka ushabiki pembeni utakuja kugundua kuwa wenye majukumu wanapenda vitu vya kulipua lipua kwa sababu hakuna mtu wa kuwawajibisha so ndio maana hakuna ufanisi.
  miafrica ndio tulivyo-Nyani Ngabu
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  ndio maana zikawachangana hawa jamaa
   
 8. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Alway hii timu inabebwa sana. Sikutegemea wangekosa ubingwa leo Maana walipanga dhahiri wachakachue waliwambia Majimaji wapoteze muda ili wapate kuyajuwa matokeo ya CCM Kirumba, Mpira umeiisha baina ya Toto na Yanga lakini Uwanja wa taifa ukaimalizika baada ya dak. 13. Shame on you Simba,TFF,Refa na Majimaji pia hawa Star TV Wasipewe tena right ya kuonyesha VPL Kwanza watangazaji wao wote wanashindwa hata kuficha ushabiki wao Hasa huyo Tom CHILALA MSHAMBA KWELI
   
 9. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wase wase
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,255
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  blah blah
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mungu siku zote ni mtenda haki.
  Na kilichopangwa na Mungu binadamu hawezi kubadilisha hata kwa tingatinga.

  Inawezekana hao TFF walishilikiana na SImba na Voda kuaeleza Majimaji jinsi ya kucheza ili wakaribishe mashambulizi na hatimaye mapenati kibao. Mungu akaona hilo janja.

  Ubingwa huu ni mtamu kuliko hata ubingwa wowote wa Yanga tangu 1990, maana umeliza wachezaji, viongozi na mashabiki wa Simba. Na wataendelea kulia wiki nzima. Sasa subili rufaa zao za TP Mazembe nazo zitupwe ndo watalia wiki 5 mfululizo.
  Yaani walitaka ubingwa wa Bara, huku wakitaka na kuitoa TP Mazembe mezani
   
 12. CPU

  CPU JF Gold Member

  #12
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni kulileta Kombe Taifa.
  Kwa situation hii (tukiacha ushabiki) ilipaswa kombe lifichwe kabisa.
  Kulipeleka kombe uwanjani kati ya Simba na Majimaji ni kwamba walikuwa wanawapa hamasa wachezaji wa Simba wacheze kwa bidii zaidi.
  Hili ndio litakalo chafua TFF, Star TV pamoja na Voda,
   
 13. m

  matunge JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Bora hata ushukuru hawakuwaonesha hao Yanga na Watoto wao, wala usingefurahia ubingwa....Matokeo ni ya kupangwa ...wazi wazi kabisa. Mnanunua mechi sijui kwa faida ya nani...CAF kila mwaka ni wahapahapa tu.
   
 14. S

  SURNAME Member

  #14
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusiwe watu wa kulahumu na kukulupuka,ubingwa ilikuwa either Simba Or Yanga,kwakuwa simba ilikuwa taifa kombe lilikuwepo na likapambwa na rangi nyekundu na nyeupe,Yanga walikuwa Kirumba nilikuwepo Kombe lilikuwepo ingawa sio original na likapambwa kwa rangi zakijan na njano.kwanini Original lilikuwa DAR?Simba alikuwa mteteze hivyo first priority alipewa yeye.Tuache majungu.Kuhusu Star TV waliomba radhi matatizo ya kiufundi na inawezekana.
   
 15. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  blah blah! Ndio ni blah blah na wewe ndo walewale utakufa na kijiba karamu mbili zilimshinda Fisi Leo zimemshinda Simba koko huku unataka ubingwa wa bara huku unajidanganya kuitoa TP Mazembe hovyoooo eti wao ndio wanaweza katika mashindano ya Kimataifa miaka nenda rudi unatoka raundi ya kwanza. Kama mwaka huu utajisifu umewatoa wa comorro mna akili kweli nyie? Blah blah
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo unataka kusema Yanga baada ya mechi walikabidhiwa "KOMBE" lao feki??
  Una uhakika na unayoyasema ndugu?????
  Isitoshe Kombe la Vodacom linapabwa rangi za mdhamini na wala sio rangi za klabu. Hata England kombe la PL nitapambwa rangi za Barclays Bank.
   
 17. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umeona ee!yaani uchakachuaji wa kitoto kabisa.
   
 18. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yaani huu ndio utetezi wenu!kwa nini kote yasikae makombe feki?au kwa nini isichaguliwe siku ya kukabidhi kombe?yaani matatizo ya kiufundi yanatokea mwanza(makao makuu ya star t.v) halafu dar matangazo yanaendelea!!huu ni mpango!
   
 19. j

  jitukalijitukal New Member

  #19
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe hufuatilii soka makombe yalikuiwa mawili mwanza na dar. Yanga na toto afrika kombe lilikuwepo uwanjani. Simba na majimaji kombe lilikuwepo uwanjani. Kashinda yanga kapewa kombe. La simba likarudishwa. Take that
   
 20. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  una uhakika na ulichoandika?
   
Loading...