Mashindano ya EA riadha live ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashindano ya EA riadha live ITV

Discussion in 'Sports' started by Pukudu, Jun 3, 2011.

 1. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mashindano ya riadha kanda ya tano Africa yako live ITV sasa hivi uwanja kwa kweli ni mzuri picha inapendeza sana ila watanzania bado tunajikongoja hakuna aliyefanya wonders ingawa tuko home games ziko dominated na waethiopia wakenya na waganda
   
 2. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama unachosema ni kweli,,,,angalia google leo ,,,Tanzanian news
   
Loading...