Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Collina alikuwa ni mwamuzi wa kiitaliano anayechukuliwa na wadau wa soka duniani kama muamuzi bora aliyewahi kutokea. Nguli huyu alikuwa ni mwamuzi mwenye haiba na mwenye kuogopwa na wachezaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Thu Jun 30 03:40pm EDT ‘My dearest Laquette': A high school love letter written by Michael JordanBy Dan Devine Michael Jordan's tough-guy reputation will no doubt survive this revelation...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
06-29-2011 Facebook Del.icio.us Digg Voisineo From : (Your email adress) To : (Your friend email adress) Subject : FIFA ranking: Cote D’Ivoire top African team Message : Zoom...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiwatizama Azam msimu huu ni mojawapo ya timu ambazo zimefanya usajili makini sana, wanaye mshambuliaji hatari Kipre Tchetche ambaye naamini hataifaidi Azam kwa umahiri wake tu bali hata kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamama aitwaye Donna Powell ametengeneza historia huko nchini Uingereza ya kuwa mwanamama wa kwanza kuwa kocha wa timu ya soka, na hii yote ni baada ya kushinda shindano la kumtafuta kocha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Victor Mugabe on the brink of a Celtic Move Updated on 28/06/11 | By JOHN MUNENE After months of speculation, highly rated Kenyan international and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kenneth Mwaisabula KABLA ya kuanza makala yangu leo, yenye kichwa cha habari kinachosema ‘Amasha’ jina langu la soka utotoni’. Kwanza niwapongeze wapenzi wote wa Kona ya Mwaisabula na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Joster Mwangulumbi katika gazeti la MwanaHALISI la Juni 22-28, 2011 anauliza swali hilo. Kajitahidi sana kutoa mifano ya huko nyuma tulipokuwa tunafanya vizuri mno lakini sasa tunazidi kudidimia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Under 21 wachukua Euro 2011. CL iko kwao, Euro kwao. World cup kwao. Natamani Tanzania ingekuwa SPAIN. Hii timu ya under 21ya spain kuna wachezaji sita wa barcelona. Hii inatisha hapo ndio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF na wapenzi wote wa medani ya soka nawaletea taarifa ya kusikitisha kwamba Mchezaji wa zamani wa African Sports ya Tanga, Majimaji ya Songea, Mtibwa Sugar ya Morogoro, Mirambo ya Tabora na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Huku symbion wamefanya mambo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
http://www.twitvid.com/RUTLW Wanajamii, kuna taarifa zinazoendelea kuvuma kwamba timu ya Taifa ya Libya imedefect na kujiunga na wapinzani huko Bengazi. Nadhani hali sio shwari huko kwa papa Ghadafi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Re. Makocha/walimu wa michezo wanahitajika UTANGULIZI TAFADHALI REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU,. TUNA PROGRAM YA MICHEZO KWA NCHI NZIMA CHINI YA KAMPUNI YA TCARC NA CSR INTERNATIONAL YA USA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ROBERTO CARLOS has demanded action from football chiefs after being victim of another racist attack in Russia.The Brazil legend had helped his team Anzhi Makhachkala build a 3-0 lead over Krylya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cavaliers take Irving with No. 1 pick in NBA draft By BRIAN MAHONEY, AP Basketball Writer NEWARK, New Jersey (AP)-The Cleveland Cavaliers have selected Kyrie Irving with the No. 1...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi Why Is It That World Class Players Wakienda Real Madrid Wanaflop Big Time?? Its Happend To Countless Players More Recently Kaká. This Is A Proven World Class Player With A Ballorn Dor And A...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
mi nashindwa kuelewa maana hapa nchini imekuwa kama vile nchi ni ya wacheza mipira ya miguu tu,watu wanaocheza basketball,volleyball hata hawathaminiwi kama wacheza mipiira ya miguu,maana hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rage aapa kutokanyaga KinshasaMwenyekiti wa Simba, Ismail Aden RageMICHAEL MOMBURI, KINSHASA MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage, ameapa kwamba timu hiyo haitakanyaga Kinshasa milele na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakala wa kiungo raia wa Kenya Victor Wanyama amethibitisha kuwa klabu ya Celtic ya Uskochi wamekubali kumsajili mchezaji huyo. Wanyama ambaye ni mdogo wake kiungo wa Inter Milan MacDonald Mariga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Alexis Sanchez ameipiga chini Manchester City baada ya kukataa kupanda ndege kwenda kufanya mazungumzo ya kujiunga na Matajiri wa Premier League kwa dili lenye thamani ya £30 million. Superstar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom