Nigeria underrated Tanzania - Igiebor

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Tuesday, 07 June 2011

LILLESTROM midfielder, Nosa Igiebor, has declared that the nation's U-23 team underrated Tanzania in last Sunday’s Olympic Games qualifier in Dar-es-Salaam which culminated into the 0-1 loss.

The Dream Team V succumbed to the goal from star striker, Ulimwengu Emmanuel with eight minutes left.

“It’s sad, it’s kind of difficult to say but I think the main point here is that we underrated the boys and that's just the truth about it," Igiebor lamented.

"When we looked at them we thought we won the game even before it started. I think that's just the only reason.

"If it comes to the game we were far better than them in everything, we had 18 scoring chances and could not convert any. They had their only chance and they scored. I think we underrated the boys that’s just the big problem there.”

Igiebor with four goals so far in the qualifiers, appealed to Nigerians to expect a better performance in the return leg tie billed for June 18 in Benin City.

“I know Nigerians are disappointed right now. There is no excuse for failure, we failed and I apologise to Nigerians on behalf of my colleagues but I also want to promise Nigerians that the return leg will be a different ball game. “We just want to promise them that we are going to ‘kill’ them from the blast of the whistle. For everything that happened in Dar-es-Salaam we have learnt our lessons and we are happy that we have a chance to correct our mistakes,” he added.
 
igweeeee, nimeipenda hii hapa , hata hivyo ishakula kwao, jamhuri si wa kutania
"I know Nigerians are disappointed right now. There is no excuse for failure, we failed and I apologise to Nigerians on behalf of my colleagues but I also want to promise Nigerians that the return leg will be a different ball game. "We just want to promise them that we are going to ‘kill' them from the blast of the whistle. For everything that happened in Dar-es-Salaam we have learnt our lessons and we are happy that we have a chance to correct our mistakes," he added.

Huyu Thomas Ulimwengu ni mchezaji mzuri sana he has a bright future ahead of him, mechi ya marudiano itakuwa mbinde kweli kweli
 
Nachotaka ni hawa Samatta na Kado waje huku U23 wafanye mambo kwenye return leg!
 
Tatizo letu nasisi tuliwadharau hawa vijana wa Nigeria ndiyo maana tukaishia kuwafunga goli moja tuu. Nadhani mechi ya marudiano hatutawadharau tena tutakuwa serious zaidi tutawapiga tatu bila.:majani7:
 
Nachotaka ni hawa Samatta na Kado waje huku U23 wafanye mambo kwenye return leg!

umemsahau ngasa na jabir aziz! Hawataamini kitakachowatokea hawa, kwani kocha wao atang'ang'ania mkanda wa video wa mechi ya kwanza. Sasa anakuja kukutana na mkimbiza upepo ngasa, lazma abadili formation ndani ya uwanja!
 
Nachotaka ni hawa Samatta na Kado waje huku U23 wafanye mambo kwenye return leg!
Kwani huyo Kado na Samatta wamezidi umri wa U23??? Kama kuna uwezekano kwa nini wasichezee nchi yao hasa hii mechi ya muhimu kufuzu Olympics????????
 
Nice to know that we are capable of inflicting a painful loss, even if its because it was not expected!
 
umemsahau ngasa na jabir aziz! Hawataamini kitakachowatokea hawa, kwani kocha wao atang'ang'ania mkanda wa video wa mechi ya kwanza. Sasa anakuja kukutana na mkimbiza upepo ngasa, lazma abadili formation ndani ya uwanja!

Daaaah kumbe tuna hazina nyingi hivyo? sijui Jamhuri atakuwa anawahitaji hawa? kama atawahitaji hawa wachezaji basi njia ni nyeupeeeee kwa U23!
 
Kwani huyo Kado na Samatta wamezidi umri wa U23??? Kama kuna uwezekano kwa nini wasichezee nchi yao hasa hii mechi ya muhimu kufuzu Olympics????????

Umeonaeee? hii olympic ni muhimu sana, hawa wachezaji watakuwa exposure kwenye soka la kimataifa na kujitangaza zaidi
 
umemsahau ngasa na jabir aziz! Hawataamini kitakachowatokea hawa, kwani kocha wao atang'ang'ania mkanda wa video wa mechi ya kwanza. Sasa anakuja kukutana na mkimbiza upepo ngasa, lazma abadili formation ndani ya uwanja!

Aaaa Acha Bana Ngassa U23? It is not possible Mtu ana mtoto anasoma Darasa la Pili Ha ha haaaaa
 
Aaaa Acha Bana Ngassa U23? It is not possible Mtu ana mtoto anasoma Darasa la Pili Ha ha haaaaa
Albedo wewe bnakuona kabisa huna exposure kabisa, sasa unakataa huo umri wewe ndio mama yake Ngasa?hivi wewe ushawahi kukaa na wachezaji wa west africa wanaotafuta Timu ulaya? au wachezaji wanaotoka Affica wanaotafuta timu ulaya? kinachotakiwa ni documents , thats all na je hizi documents ndio mara yake ya kwanza kuzitumia? na jibu ni ndio na hajawahi kubadilisha passport basi ndio umri wake huo wa halali hatuangalii sura hapa , wewe unataka kuniambia vile vijeba vya Nigeria vyote vina umri chini ya miaka 23?? OO NO!! KILL ME PLEASE OR BAN ME RIGHT NOWW
 
Mapopo kwa ubishi na kujikweza! mmekuja mkijua fika timu mnayokutakana nayo imewatoa Comeroon,sasa hiyo underrated imetoka wapi?....ukweli ni kuwa mpira unabadilika kwa kasi Afrika na Duniani kwa jumla,tazama Misri na Cameroon kijasho kinawatoka CAN 2012 Qualifying matches
 
Back
Top Bottom