Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

yanga imeonesha ungangari kugomea jezi za vodacom kutokana na kuwa rangi nyekundu. Lakini hatuoni ikigomea rangi nyekundu na nyeupe ambazo zinatumiwa na watu wa huduma ya kwanza maarufu kama red...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sasa yanga mziki ndo umeanza baada ya kupata uwaja wa ukweli
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serial a: Juventus 4 parma 0
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu nyingi za ulaya naona zina wanyama ambao kidogo wanafanania na simba lakini sio simba. Miongoni mwa timu hizo ni Manchester United na Chelsea. Man wanamwita mnyama wao SHETANI MWEKUNDU, je...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Ona official website yao, last time ilikuwa updated July. Hii ni aibu sana kwa club yenye wapenzi duniani kote. www.yangasc.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NATAMANI KUSIKIA LIGI IMEISHA YA TANZANIA BARA KWA MSIMAMO HUU JAMANI SIJUI MAONI YENU
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu napenda tujumuike pamoja katika mada hii inayoendelea kwa sasa katika Star TV na itakamilika majira ya saa 3:00 ASUBUHI Tupo Live, weka maoni yako hapa na yatasomwa LIVE Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ama kwa hakika ni tarehe 13 ya mwezi wa 9 ktk dimba la Nou Camp ambapo kutakuwa na mechi kati ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani Ulaya yaani Barcelona watakapo pambana na mabingwa mara 7...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Poll Poll
:msela:Following the English Premier league (BARCLAYS PREMIER) start-up this season of Manchester United and Chelsea, who do you think will dominate/win the race at the BIG MATCH this weekend?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya wapenda tennnis na wanafatalia kina serena williamd andy muuray federer Tundeleeeee. Hapa tujadiliane mashindandano ya ATP na grand slam za mwaka huu 2011 Nimeona jana Andy Murray...
0 Reactions
246 Replies
19K Views
The Citizen (Dar es Salaam) 8 September 2011 Dar es Salaam — The International Amateur Athletics Federation (IAAF) has showered praise on the Tanzania Olympic Committee (TOC) secretary general...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Au ule ubingwa wa east africa 2lipewa? Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama wafanyavyo wenzetu Ulaya na kwingineko duniani,ligi yetu ya Vodacom ingekuwa inasimama ili kupisha michezo ya kimataifa.maana kwa sasa kuna timu zimeshacheza mechi tano zingine zina 2...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa timu hii ambayo siasa imejikita ndani huku uswahili ushachanua ni vigumu kuifunga Algeria!! Binafsi namuona kocha kawa mswahili,tff wamekuwa wanasiasa na serikali ipo ICU ikisubiri kujifungua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Bila ubishi mechi ya jana ya kufuzu katika mashindano ya AFCON 2012 kati ya Taifa Stars v/s Aljeria ilikuwa nyepesi sana kwetu kama utulivu,umakini na weledi(proffessionalism) ungekuwepo. Tuliwapa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Dina Ismail ALIYEWAHI kuwa Katibu wa Klabu ya Simba na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Pwani (COREFA), Hassan Othman ‘Hasanoo’ anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Taekwondo inatarajiwa kuondoka siku ya Ijumaa tarehe 9 Sept 2011 kuelekea maputo Msumbiji kushiriki kwenye michezo ya Afrika. habari kutoka ndani ya kambi hiyo zinadokeza kwamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
*Yataka vielelezo sakata la jezi Yanga Na Zahoro Mlanzi SAKATA la Klabu ya Yanga kutovaa jezi zenye nembo nyekundu, limezidi kuchukua sura mpya ambapo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimaye yule kinara wa zamani wa samba, Ronaldinho Gaucho, amerejea jana rasmi kwenye kikosi cha Selecao. Lakini alishindwa kuwathibitishia washabiki wa soka kuwa bado ana kiwango hivyo kupelekea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani katika watu ambao wamewahi kutokea ktk dunia hii kwenye mchezo wa riadha huyu jamaa ni noma! kwanini kila mala akikimbia lazima aweke record yake? Kama juzi kwenye mbio amewaacha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom