It's that time of year again. La Liga's first Clasico of the season invariably arrives in the lead-up to Christmas, and 2011-12 has paired Spain's big two together this Saturday in a game which is...
Wadau, kama mnavyojuwa mechi hii inapigwa naiti kali ya leo, Naomba msaada mwenye kujuwa live stream inayoonyesha hiyo mechi tusaidiane ili niitafute kwa mtandao.
Mpira unaendelea mpaka sasa ni bila bila, tuendelee kujuzana kinachoendelea japo timu yetu haikufanikiwa kuingia fainali.
Dakika 90 za kwanza zimeisha matokeo yakiwa:
Rwanda 2 - 2 Uganda
Mpaka...
Mashindano yanayoendelea ya cecafa timu zote kwenye jezi zao zimeandikwa majina ya nchi. Amavumbi (Rwanda), Harambe stars (Kenya), The Flames (Malawi), Intamba mrugamba (Burundi), Zanzibar heros...
Watu wamepania kuwazomea wabunge kwa kujipandishia posho kwa kiwango kikubwa! Pia wawakilishi watazomewa kwa kuvaa jezi za udhamini wa pombe huku wakivizuia vilabu vyao Zanzibar kudhaminiwa na...
Pujols agrees to terms with Angels on landmark deal
By Tim Brown, Yahoo! Sports2 hours, 23 minutes ago
Albert Pujols(notes), the heart and hammer of the St. Louis Cardinals for more than a...
Timu ya Kilimanjaro Stars imeaga mashindano ya Cecafa Tusker Chalenji baada ya Uganda Cranes kuiadhibu 3-1.
Kilimanjaro Stars walianza kwa kishindo kufuatia bao la kuongoza liliofungwa na Mrisho...
Dar es Salaam, 07, DECEMBER 2011
Kampuni ya BiaTanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lite, leo imetangaza udhamini wamashindano ya mpira wa kikapu yatakayofanyika jijini Dar es Salaam...
Pengine utaungana nami kuamini kilichofanywa na julio ni kukosa akili
julio kama ulimsoma mapema boban alisoma nyakati mapema kuondoka kwenye
benchi lako na kama ungempa nafasi akueleze yaliomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.