Yanga tunasubiri mzikate unifom za red cross maana zinaashiria simba sc

mbasamwoga

Member
Jul 6, 2011
70
11
yanga imeonesha ungangari kugomea jezi za vodacom kutokana na kuwa rangi nyekundu. Lakini hatuoni ikigomea rangi nyekundu na nyeupe ambazo zinatumiwa na watu wa huduma ya kwanza maarufu kama red cross.


Tff mpo hapo. Sijui itakuwaje maana kwenye mechi za watani hwa watu wanapata shida sana. Tff inabidi iliweke sawa.
Maana linakera na kuleta sura mbaya ktk medani ya mpira wa miguuu tzie


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom