LIVE: Tuongee Asubuhi, NAFASI YA MAKOCHA WAZAWA KWA TIMU YA TAIFA

Yahya Mohamed

Verified Member
Oct 28, 2010
270
195
Wakuu napenda tujumuike pamoja katika mada hii inayoendelea kwa sasa katika Star TV na itakamilika majira ya saa 3:00 ASUBUHI

Tupo Live, weka maoni yako hapa na yatasomwa LIVE

Nawasilisha
 

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,003
2,000
Yahya, suala hapa ni uzawa ama maendeleo ya soka? Ni kweli tukipata maendeleo ya soka kwa kutumia makocha wazawa inakuwa jambo zuri zaidi lakini tusing'ang'anie makocha wazawa tu hata kama ni dhahiri hawawezi kuleta maendeleo. Binafsi sifikiri kwamba tatizo la kiwango kidogo cha soka kinaanzia kwenye makocha au timu ya taifa....ni tatizo pana zaidi.
 

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,697
1,500
STAR TV hampo hewani (kwa wanaotumia dish) kwa siku 14 sasa,coverage yenu ni ndogo sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom