Taifa Stars ikiifunga Algeria mimi nabadili Uraia na kuwa Mtanganyika!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa Stars ikiifunga Algeria mimi nabadili Uraia na kuwa Mtanganyika!!

Discussion in 'Sports' started by Yericko Nyerere, Aug 31, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 31, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,821
Trophy Points: 280
Kwa timu hii ambayo siasa imejikita ndani huku uswahili ushachanua ni vigumu kuifunga Algeria!!
Binafsi namuona kocha kawa mswahili,tff wamekuwa wanasiasa na serikali ipo ICU ikisubiri kujifungua kwa operation,
hakuna maandalizi yanayoashiria kuwa kunapambano la kimataifa!
Mchezaji mwenye sifa na kiwango cha kimataifa eti kocha anasema aende timu ya watoto ili akamuone?
Wakati kagame Haruna Moshi alicheza tena kwa ufanisi mkubwa! Ina maana wachezaji aliowakuta wakati anakabidhiwa
timu aliwaona wapi viwango vya kabla ya kuwapokea?

Hii ni dharau kubwa, kocha na tff
wanatakiwa wamuombe radhi Boban tena kupitia vyombo vya habari!!

Sina nia ya kumtetea Bobani lakini nimesikitika jibu la kocha alipoulizwa kwanini hajamuita Bobani?
alijibu, "Tatizo Bobabi hamalizi dk90 uwanjani hiyo ndiyo sababu"

Hivi kweli hili ni jibu la kocha la mwanasiasa au la mswahili?
Nirudie tena kusema sio kukosekana kwa Boban ndiyo kushindwa kwa Stars bali mfumo wa uendeshaji wa sasa wa timu hii!!
Mimi nasema stars hii ikiifunga Algeria mimi nabadili uraia ili nirudi kwenye asili
yangu ya Tanganyika!!

2. m

mzee wa njaa JF-Expert Member

#2
Aug 31, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 1,368
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Katika makocha mafala huyu Mzee ndio anafuatia baada ya Maximo. Dharau kubwa kwa Boban kaonesha. Mwache na ole wake tufungwe ndio atajua sie akina nani?

3. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#3
Aug 31, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
Tz hatuna kocha, tuna mganga njaa tu pale. Kocha alikuwa Maximo tukajifanya wajuaji na kumtimua sasa tunarudi kule tulikokuwa kabla ya Maximo. Acha tupate somo kwanza.

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Aug 31, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,821
Trophy Points: 280

Hakika kabisa huyu kocha kaacha misingi ya ukocha na ubeba ukocho msonge!!

5. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#5
Aug 31, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 18,005
Likes Received: 739
Trophy Points: 280
Hata uteuzi wake wa wachezaji haueleki,anaita hata mafaza waliokwisha choka toka nje.

6. Aggrey86

Aggrey86 JF-Expert Member

#6
Aug 31, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 856
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Wakati wa maximo akiteua timu watu tulikuwa tunafuatilia leo kamwita nani na kamwacha nani? Maximo alikuwa na mapungufu yake lakn alipotufikisha palikuwa pazuri ilibidi 2pate kocha atakayetuendeleza lakini huyu babu naona anazidi kutudidimiza shimoni timu ye2 haina mvuto tena,timu imekuwa c ya ushindani 2po2po2 kama ikitokea 2nashinda ni zali tu litukute ila la sivyo hatuna uwezo wa kuifunga Algeria kwa timu ye2 hii!

7. senator

senator JF-Expert Member

#7
Aug 31, 2011
Joined: Aug 9, 2007
Messages: 1,927
Likes Received: 0
Trophy Points: 133
Tutamkumbuka Maximo..ila kwa upande flani chama cha soka kinachangia kuharibu soka letu na huenda wanampa fitina za kutosha huyu mdenish.
Kwa sasa soka la bongo linakwenda mzobe mzobe..Algeria anaweza kufungwa kama wachezaji watacheza kwa kujituma na kujitoa mhanga...ila naona watanzania wameanza kupoteza morali na muamko wa soka la timu ya taifa

8. U

UONGO MWIKO Member

#8
Aug 31, 2011
Joined: Aug 31, 2011
Messages: 20
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Tatizo mfumo wa michezo umekaa kimaslahi binafsi sana! wadau wengi wa michezo wanataka mafanikio ya haraka bila kutoa jasho! kwazaidi ya miaka 15 sasa style ya maandalizi ni hii hii! bila shaka, some thing is wrong some where but people concerned are not ready to take measures!

IT CAN BE DONE LET US PLAY OUR PARTY!

9. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#9
Aug 31, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
hapa swala sio kumlaumu kocha ni sisi watz kuanza konesha nia ya timu yetu kushinda pamoja na kuachana na mambo ya unazi usiokuwa na maana hasa kwenye timu ya taifa..

10. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#10
Aug 31, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

sasa tumlaumu nani,timu gani haina mafanikio miaka nenda rudi,hatujawah ku enjoy kuiona timu ya taifa kwenye CAN kwa zaidi ya miaka 30 sasa,hakuna kujipa moyo wa kijinga tena,hakuna ishu pale tff,

11. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#11
Aug 31, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160

kwa hiyo sasa mkuu tufanye nini ili na sisi tufanikiwe..

12. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#12
Aug 31, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

tujitoe kwenye mashindano yeyote yale...kwa kama miaka mi5 hivi,tujenge timu ya ushindani yenye vijana wadogo wadogo,labda tunaweza kuonesha uhai,kwa hali ilivyo sasa,usitegemee kipya taifa stars,i swear!

13. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#13
Aug 31, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,821
Trophy Points: 280

Nadhani hili ndilo suluhisho!!

14. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#14
Aug 31, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

thanx,kwa kuliona hili na wewe mkuu!

15. NG'OTIMBEBEDZU

NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

#15
Sep 8, 2011
Joined: Aug 11, 2010
Messages: 845
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
Maximo hakutimuliwa,alikuwa na mkataba wa miaka 2 ikaisha, akaongezewa mingine 2 ikaisha ndipo akaamua kutokuongeza na kutimka, ingawa nae wajanja(TFF)walimuambukiza uswahili nae akawa mwingi wa 'misamiati'

16. NG'OTIMBEBEDZU

NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

#16
Sep 8, 2011
Joined: Aug 11, 2010
Messages: 845
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
Hata tuoneshe uzalendo vipi..........,ni mpaka pale TFF itakapoacha kufanya biashara kwenye mechi za Stars!!!

17. NG'OTIMBEBEDZU

NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

#17
Sep 8, 2011
Joined: Aug 11, 2010
Messages: 845
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
Ni mpaka tutakapoacha kuwatumia wahuni kuongoza vilabu na vyama vya michezo.Wanaojiita wadau wa soka nchi hii wengi ni wahuni, na ndio wanaoweka viongozi kwenye vilabu na vyama vya soka(wilaya, mikoa) ambao wanatokana na mfumo wa kihuni.Sasa basi, wahuni hawa wa kwenye vilabu na vyama vya soka ndio wanaokaa pamoja kuchagua wale wa kuongoza TFF, sasa hapa ndipo kuna tatizo la msingi wa kudumaa kwetu na tutalaumu sana Simba na yanga na kuitukuza Azam lakini mfumo wa upatikanaji wa viongozi tumeuweka kando.Kama TFF ingekuwa makini Simba na yanga zingebanwa na sheria na kanuni mambo yangekwenda vizuri tu. So tuondoe hawa wahuni.

18. ibraton

ibraton JF-Expert Member

#18
Sep 8, 2011
Joined: Apr 7, 2011
Messages: 231
Likes Received: 98
Trophy Points: 45
Tanzania nakupenda nchi yangu'hakika wote mliochangia hapa ni wazarendo wa ukweli'kama haikuumi hutasema kitu'unajua bora tungekuwa na uzungu uswahili ni balaa tupu haswaa ktk mambo ya uongozi na mafaniko'hiyo ndio tanzania ya waswahili cjui lini tutabadilika tuwe wazungu hihihihiiiiiiii.

Loading...