Jamani huyu Usain Bolt mbona hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu Usain Bolt mbona hivi?

Discussion in 'Sports' started by white wizard, Sep 6, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Jamani katika watu ambao wamewahi kutokea ktk dunia hii kwenye mchezo wa riadha huyu jamaa ni noma! kwanini kila mala akikimbia lazima aweke record yake?

  Kama juzi kwenye mbio amewaacha wenzake mbali sana,na ninakubaliana na wale watu wanaosema kwa sasa ndiye binadamu anayekimbia sana ktk dunia hii,na ndiye aliyempa Christiano Ronaldo uwezo wa kukimbia na mpira kiasi kile, kwa vile ni shabiki wa MAN UTD, na siku moja alisema atamuomba SIR, ALEX, ampange uwanjani.

  Na hata ktk mbio za mita 100,ambazo jamaa alitolewa kwenye mashindano kwa kuanza kukimbia kabla ya filimbi kupigwa,watu walisema mengi jamaa ndio zake kuanza mbio kabla hajaruhusiwa. Sasa hapa tena watasema nini?Naombeni wanariadha wa tz mmfuate jamaa huyu, kwani ana mapafu mangapi?

  Ana miguu mirefu kiasi ganiTUACHE VISINGIZIO KILA KUKICHA,Mkiwa mnaondoka ooh tumejiandaa vya kutosha ,mnaposhindwa ohoo,hatukuwa na maandalizi ya kutosha!tatizo la nchi hii siasa zimeshaharibu kila nyanja.
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi huyu jamaa namkubali sana ni kipaji kwa kweli.
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Usain bolt ni Alfa na Omega.
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Usain Bolt ni mtaalamu na anatambua umuhimu wa kazi yake; anajituma na wakati mwingi akiwa kwao Jamaica huwa anafanya mazoezi bila kukumbushwa au kutegemea msaada wowote, ni mtu wa aina yake kwakweli
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Usain Bolt is a genetic freak of nature!
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  I agree with Ngabu, there is an element of freakishness in his elaborate championship! This goes out to few others like Semenyi, Michael Johnson and some weirdos in long distance races. It's true that they do work extremely hard to get there, but people like Tyson Gale, Assafa Powell, Alto Boldon, etc prove champions out of sheer training and endurance as opposed to morphological chances and adaptation seen in athletes like Bolt or Semenyi. Of course, I can be proved wrong, this is just my thought.
   
 7. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli huyu jamaa kwa sasa ni nouma. Na atatawala hizo mbio fupi kwa kipindi kirefu sana, na nadhani atavunja rekodi zaidi, labda akose wapinzani wa kumsukuma. Nadhani rekodi zake zitadumu kwa muda mrefu sana.
  Ule urefu unamsaidia sana. Mtu ukiwa mrefu halafu una kasi, wafupi watasoma namba tu. Kwa kweli hata Mimi namvulia kofia.
  Way to go Bolt, soon you'll be a legend.
   
 8. Baba Ziro

  Baba Ziro Senior Member

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ama kweli jamaa ni noma sana, mi namkubali tangu mwaka 2007 kule beijing alikwapua medali 3 za dhahabu za mbio fupi: mita 100, mita 200, mita 400. ni balaa! mi pia mshabiki wake namba moja big up Bolt!
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  you mean michael johnson or ben johnson a.k.a big ben?
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Last two week Jumapili mmoja wali mtoa Usain Bolt kwenye mashindano ati alichomoka kabla ya mlio wa bastora ila watu wali maind sana ila juzi tena ndio akawaonyeshea kuwa yeye ndie yeye peke yake hakuna mwinine hawa jamaaa wana kula mazoezi usipaime walisha peleka vyombo vya habari kwenda kumchunguza kule esp Aljazeera wali mhoji wakakuta wanapiga mazoezi kama kawa na ni very hard.

  Hapa kwetu na wanariadha wetu hawajitoi muhanga kufanya mazoezi walianzia chini hao wakina Bolt hakuwa na jina sasa kwetu iweje nasi tusianzie chini, Majuzi hapa Gerlad Hando wa PB Clouds FM alisema kuna mburu yuko Marekani alichukuliwa huku akiwa mdogo alionyesha kipaji cha kukimbia na sasa anakimbilia kwa bendera ya America jamani kweli vipaji vinapotea kuana matatizo kwenye swala la uongozi nchi hii
   
 11. u

  utantambua JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mburu ndio nani? Fafanua jethro
   
 12. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nadhani hapo kwenye red ilitakiwa iwe 100X4
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  kwa hiyo bolt na ndugu yake mary nagu..
   
Loading...