Ligi inge isha hivi sijui ningefurahije jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ligi inge isha hivi sijui ningefurahije jamani??

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Sep 7, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,449
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  NATAMANI KUSIKIA LIGI IMEISHA YA TANZANIA BARA KWA MSIMAMO HUU JAMANI SIJUI MAONI YENU [​IMG]
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  simba na yanga zina ua soka la bongo
   
 3. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha haa. Ina maana YeboYebo wangekuwa wameshuka daraja! Ngoja wapigwe tena leo na Mtibwa waendelee kuburuza mkia.
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  halafu wangapi vile wapo timu ya taifa?
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Timu ya Taifa waliokuwa wameitwa ni kama watano.
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mpaka zitakapo vunjwa ndipo soka la bongo litabadilika? something which next to impossible, maana zimekaa kisiasa mno na hata wapenzi wake ni vivyo hivyo
   
 7. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  soka ni TFF haina utalaam wakuendesha soka ndo maana hat ligi yetu mbovu
   
 8. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hapa tupo pamoja, TFF imejaa upambe zaidi na utovu wa nidhamu miongoni mwao.
   
 9. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Yanga inashika mkia, sase bosa
   
Loading...