Nionavyo mimi:Ligi Kuu ya Vodacom Tz ingesimama kupisha Int'l break.

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
22,212
Points
2,000

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
22,212 2,000
Kama wafanyavyo wenzetu Ulaya na kwingineko duniani,ligi yetu ya Vodacom ingekuwa inasimama ili kupisha michezo ya kimataifa.maana kwa sasa kuna timu zimeshacheza mechi tano zingine zina 2 tu,hivyo itapelekea upangaji wa matokeo baadae.
 

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,710
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,710 2,000
huwa ipo kwa simba na yanga na sasa hivi azam ila hawa wengine wanaendelea kucheza..

na hilo wazo lako ni zuri sana na ni endelevu..
 

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,710
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,710 2,000
Nafikiri si Simba na Yanga,ila walikuwa na idadi fulani ya wachezaji kati ya 3-5,suluhisho ni kusimamisha ligi.
na shida nini mkuu tff bado kale ka usimba na yanga ndio kanawasumbua wao wanafikiria matumbo yao halafu pia karibu maamuzi mengi siku yako ki siasa zaidi..
 

Forum statistics

Threads 1,391,122
Members 528,369
Posts 34,074,125
Top