Yanga wana nini?

DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
149
Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Au ule ubingwa wa east africa 2lipewa? Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.
 
Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.

kocha amesema tatizo ni uongozi

uongozi Yanga huwa na mkono wa Manji

matatizo ya Yanga yanaletwa na manji
 
Jamani wana jf naomba mnijuze yanga wana matatizo gani? Kila cku draw hadi wanaboa! Au ule ubingwa wa east africa 2lipewa? Wenye details chanzo cha matatizo Yanga anijuze.
<br />
<br />
jamani hebu tuelimike kama wenzetu majuu, timu inaweza kudorora kwa sababu za kiufundi na si migogoro wala vinginexo,tatizo la yanga ni usajiri mbovu wa magazetini ma majeruhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom