Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Update: full time sisi moja na wao moja, tumejaribu, tumeweza, tumetoa droo!!! Staz 1 - 1 Msumbiji
0 Reactions
201 Replies
13K Views
Kikosi kamili kinaundwa na makipa Shabani Kado (Yanga), Juma Kaseja (Simba) na Mwadini Ali (Azam). Mabeki ni nahodha Shadrack Nsajigwa (Yanga), Masoud Cholo (Simba), Aggrey Morris (Azam), Juma...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
England vs Netherlands.live kutoka Wembley Stadium.Magoli ni bila bila.
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Hello JF members Tarehe 26/2/2012 ni siku nyingine dunia itahamia hapa Kilimanjaro hususani Moshi mjini. Karibuni sana kwenye mashindano haya ambayo yanafanyika kwa mara ya 10 sasa. Inaweza kuwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa upande mmoja naona Stuart amefanya chaguo sahihi hasa kutokana na nafasi anayo chezea "combative midfielder" pamoja na kwamba ataongoza timu yenye wazoefu wengi na inayofuatiliwa sana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo timu yetu itashuka kupepetana na msumbiji, tuungane pamoja kuisupport na kuiombea ushindi wa kishindo. Kila la kheri!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Video: Kobe Bryant passes Michael Jordan’s All-Star record Los Angeles Lakers superstar Kobe Bryant has played in 14 All-Star games in his career, enough to put him at third place (in a tie) on...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
hadi dk ya 85 arsenal anaongoza kwa bao 5!kwa 2
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ivi kweli gadiola ndo kamshindwa morinyo? inaonekana sasa bacelona inatoka kwenye mbio zakuusaka ubingwa wa hispania hawezekani uachwe point 3 mpaka zinafika kumi. hii ni aibu kwa kocha kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
'' Mara tu baada ya mazoezi kabla ya timu kuelekea nchini Panama,kocha mkuu wa Sounders bwana Sigi Schmid aliniita na kufanya naye mazungumzo ya takribani dakika kama 20 hivi,kimsingi alikuwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mechi kati ya taifa stars na DRC inakaribia kuanza hapa uwanja wa Taifa. Nitakuleteeni live up date. Nyimbo za taifa ndo zinzpigwa na sasa wimbo wa tanzania unapigwa baada ya ule wa Congo
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Miaka ya 80 ndipo Africa ilipoanza kuvuma ktk ulimwengu wa soka hasa pale FIFA world cup ya 1982 ambapo Algeria na Comeroun ziliwakilisha Africa. Cameroun, ingawa ilitolewa mapema, haikupoteza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna taarifa kwamba yule mwanadada wa twiga starts SOFIA MWASIKILI ameshindwa kucheza mpira Uturuki kisa eti ftt imemnyima itc,mwenye taarifa kamili afunguke hapa.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Source:Wambura Kayasema hayo wakati akichangia mada kwenye malumbano ya hoja ITV
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hongereni sana kwa kuwa na vifaa vya kutosha na vya kisasa(camera)za kuonyeshea mpira live,hususani kama huu wa leo wa taifa stars na congo drc,picha zilikuwa safi,utadhani super sport!sio wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kusikia matangazo meengi ktk mechi iliyopita kati ya Yanga na Zamalek yanatangazwa na wapiga hela nikajua tushaumia. Hiv umati wote ule na hela tuliyotangaziwa vinaendana kweli...!
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Wana JF. Nimekuwa nikijiuliza sana kwini kuna tatizo gani kwa huyu bwana mdogo toka aingie NBA mwaka 2009 alikuwa 2nd pick overall na Memphis Grizzlies na sasa yuko Houston Rockets performance...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
huyu mchezaji denis mwape *simpendi..hivi Yanga mmemtoa wapi huyu kituko hebu tuondoleen haraka.Changamkeni kama simba mchezaji akizingua wanamuondoa fasta.alaf huyo papic anapedelea wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
UKARABATI SHAMBA LA BIBI WAENDELEA
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom