Tribute to African Soccer Legends

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Miaka ya 80 ndipo Africa ilipoanza kuvuma ktk ulimwengu wa soka hasa pale FIFA world cup ya 1982 ambapo Algeria na Comeroun ziliwakilisha Africa. Cameroun, ingawa ilitolewa mapema, haikupoteza mechi yoyote baada ya kutoka sare mechi zote 3 dhidi ya Peru, Italy na Argentina (kama sikosei). Ndipo alipoibuka kipa Thomas Nkono.
Tujikumbushe nyota wa Africa enzi hizo.
CAMEROUN 1980-90
Thomas Nkono & Joseph Antoine Bell (makipa), Emmanuel Kunde, Theophil Abega, Francoi Omam Biyik na nduguye Andre Omam Biyik
 
I do remember sana tu hasa Teophil Abega, jamaa sijui yuko wapi sasa hivi. wakati ule wa Mwalimu tukiona tu picha kwenye magazeti, mzee wangu alikuwa analeta home gazeti flani hivi likiitwa Africa Now, na jingine nimelisahau basi likuwa ni full picha.
 
CAMEROUN 80-90
Thomas Nkono & Joseph Antonio Bell (GKs), Emmanuel Kunde, Theophil Abega (Lenny wa SSC alipewa jina hili), Cyril Makanaki, wana ndugu Andre & Francois Omam Biyik aliyewatungua Argentina mapema, Roger Milla (shujaa wa Afrika), Marc Vivien Foe (the Foe) aliyefia uwanjani UK.
 
Lakhdar Beloumi wa algeria
Abdu Razak wa Ghana
Sunday Ibrahim wa Asante Kotoko Kumasi
Mohamed Polo wa Hearts of Oak -ghana
Sheriff Suleyman wa Hafia ya Guinea
 
Back
Top Bottom