dickson longo JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 232 Reaction score 52 Feb 29, 2012 #1 England vs Netherlands.live kutoka Wembley Stadium.Magoli ni bila bila.
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,387 Reaction score 10,965 Mar 1, 2012 #2 Ureno vs Poland nayo bila bila. Dakika ya 56 sasa. Poland wanacheza vizuri kuliko Ureno. Ronaldo na Nani wanacheza vizuri kwenye vilabu vyao,lakini timu ya taifa wanakua kama John Boko!
Ureno vs Poland nayo bila bila. Dakika ya 56 sasa. Poland wanacheza vizuri kuliko Ureno. Ronaldo na Nani wanacheza vizuri kwenye vilabu vyao,lakini timu ya taifa wanakua kama John Boko!
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,079 Mar 1, 2012 #3 dickson longo said: England vs Netherlands.live kutoka Wembley Stadium.Magoli ni bila bila. Click to expand... 3-2 fulltime. Netherlands won!!
dickson longo said: England vs Netherlands.live kutoka Wembley Stadium.Magoli ni bila bila. Click to expand... 3-2 fulltime. Netherlands won!!