Pongezi kwa star tv. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi kwa star tv.

Discussion in 'Sports' started by white wizard, Feb 23, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hongereni sana kwa kuwa na vifaa vya kutosha na vya kisasa(camera)za kuonyeshea mpira live,hususani kama huu wa leo wa taifa stars na congo drc,picha zilikuwa safi,utadhani super sport!sio wale tbc pamoja na kula hela ye2 za walipakodi walionyesha mpira utadhani sehemu moja ya uwanja ni mchana na nyingine ni ucku!kingine hata tukio kurirudia hawawezi!goli likifungwa kama ulikuwa umeangalia pembeni ndio bac tena!imetoka.kazeni msuri star tv,acheni hao na mavipindi yao ya chereko chereko.kurudia rudia vipindi tu.
   
 2. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haahaaahaaaaaa! Hivi bado tbc wana chereko???
   
Loading...