Robin van Persie scored a fantastic goal against Liverpool this weekend, beautiful long pass from Alex Song and The Viper scored what they call a beast goal, magical in nature.
In December last...
Chelsea has just sacked Andre Villas Boas.
UPDATE 1
Chelsea Statement
Andre Villa-Boas has parted company with Chelsea Football Club today. The board would like to record our gratitude for his...
sisi wakereketwa na wafurukutwa wa michezo tunaoipenda JF tunaomba Mods waanzishe jukwaa la michezo
SIMBA YAIFUNGA TIMU YA KIYOVU YA RWANDA 2-1
Mchezaji wa timu ya Simba mganda Emmanuel Okwi...
Naamini Kiyovu kimekuja kuchukua point zake tatu muhimu. Hakika leo kiyovu kitatutoa kimasomaso. Mimi nakitakia kiyovu ushindi mwema wa magoli 3 bila. Bila shaka sasa hivi simba kiroho kinadunda...
Wapendwa wangu
simba timu yangu ushindi jadi yetu..naomba tuache usimba na uyanga tushabikie timuyetu
ukweli halisi kama mtaacha wachezaji maarufu kubaki uwanjani huku wakiwa awafanyi la maana...
Yule mchezaji bora wa zamani, Ronaldo De Asis Moreira, ajulikanaye zaidi kwa jina la Ronaldinho Gaucho amesikika akimbembeleza kocha mpya wa Selecao, yaani Brazili, ampe namba katika kikosi cha...
Wakuu February 26, 2012 ndio game na starter wameshatajwa....kama kawa Dwight Howard kaongoza kura kwa Eastern Conference na Kobe kaongoza kwa Western Conference......
East – Derrick Rose...
hatimaye yanga yakamilisha ratiba ya michuano ya club bingwa africa,kama kawaida ya timu zetu,huwa hazina jipya kwenye michuano ya kimataifa.chuji alitolewa kwa kadi nyekundu,na zamaleck walikosa...
mpaka dk hii zamalek inaongoza kwa bao 1,dhidi ya yanga.bao limefungwa na mido.katibu wa yanga anasema eti ilikuwa off side!refa akaacha tu!source.times fm.kipindi cha kwanza ndio kinakwenda ukingoni
mi ni mshabiki wa manchester!ilikuwa mechi kati man utd na chelsea!david luiz alitufunga bonge la goli mpaka japo umefungwa lakini unafurahia goli!je wewe siku gani timu yako ilifungwa goli zuri...
Kwa wale wapenzi wa soka ambao hawataweze kufika kwenye uwanja wa taifa siku ya jumapili basi waweza kutune Star tv kwani watakuwa wanafanya coverage ya mechi hiyo LIVE.
Habari hii nimeipata...
Hivi tatizo lenu nini? ulimbukeni au ndio bendera kufata upepo?? Nimesikia leo asubuhi RFA eti mashabiki wa soka Dar waliamua kuandamana kushinikiza kocha wa timu ya Taifa ajiuzuru atafutwe kocha...
Wandugu,
Naikumbuka sana Pistons ya 2003-2004, enzi hizo kuna kina Teshawn Prince, Ben Wallace, Rasheed Wallace, Chauncey Billups Nk ilikuwa ni balaa full kutupa raha washabiki. Hebu tukumbushane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.