Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

nafungulia tv yangu hapa!naona steven gerrard anatoka uwanjani anafuraha sana!nikiangalia tumbo lake naona kubwa kama mjamzito!nijuzeni wakuu!maana nimezima tv ghafla kwa kuogopa!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nugu zangu watani wangu kina chisora ndio mpira gani tena mnataka ku u introduce nchini mwetu? ndungu zetu mmeugeuza mpira kuwa uwanja wa vita? nafasi za jeshi zipo kibao...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
KENYAN GOLDEN GIRLS SOUND OLYMPIC ALARM!!! Kenya's Pamela Jelimo celebrates after winning the women's 800m final at the 2012 IAAF World Indoor Athletics Championships at the Atakoy Athletics...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wanajamvi mliopo uwanjani tuhabarisheni kinachoendelea kwenye hii mechi hivi sasa. kule simba thread na ligi kuu thread hakuna updates zozote hadi sasa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanga 0 ~ 1 Azam Baada ya Niyonzima kutolewa kwa kadi ya pili ya njano iliyozaa red card Wachezaji wa YANGA wamemvamia Refa na kumtwisha MINGUMI ya kutosha waliompiga refa ni pamoja na Canavaro...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Hallo wanaJF, Kamati ya uchaguzi ya TFF imemuangushia rungu zito mwana michezo M.Wambura kutogombea nafasi yoyote kwenye uongozi wa michezo maisha yake yote.Hii inatokana na tuhuma mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ni kipa gani mzembe zaidi kati ya hawa no 1 http://youtu.be/jxm0MPv90yU no 2 http://youtu.be/MAaXQRt39d4 no 3 http://youtu.be/NyehinMg-r8 no 4 http://youtu.be/kF_6ZMuoIDY no 5...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ZITTO ATAKA STARS IVUNJWE, POULSEN ATIMULIWE KIWANGO kilichoonyeshwa na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, katika mechi dhidi ya Msumbiji, kimesababisha Mbunge wa Kigoma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wkubwa naombeni mnijuze sheria inasemaje hapa, inakuaje pale wachezaji wawili au zaidi wakapiga Hat trick katika mechi moja? mpira anapewa nani?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Beki wa Vijana ataka uraia wa Italia JACKSON ODOYO MTANZANIA anayecheza soka Italia, George Mtemahanji amesema ataomba uraia wa Italia. Mtemahaji, ambaye anachezea Modena FC inayocheza Ligi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani kweli soka la bango *limejaa usanii mtupu!!!.Hivi karibuni Simba ilizindua kipindi cha runinga clouds tv.kwa mbwembwe nyiiingi.kwa kkuza *hilo nakuwasahaulisha wanasimba kuhusu uwanja wao...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Schneyder kutua Man January
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali yaitaka TFF kulipa gharama za jumla ya shilingi milioni tano kwa kuvunjika kwa viti 152 kwenye uwanja wa taifa siku ya mchezo wa SIMBA na KIYOVU source:JF hutaki acha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipa wa arsenal alishindwa kuvumilia na kuamua kumfuata muokota mipira(Ball -Boy) na kumkumbatia baada ya Theo Walcot kufunga goli la tano dhidi ya Tottenham Hotspurs katika mechi iliyopigwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa upande wangu nampa nafasi kubwa Raphael Benitez, sababu mmoja ya makocha wazuri ambao hawana timu kwa sasa na inakuwa ni virahisi sana kumpata., tofauti na makocha wengine wanaopigiwa chapuo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I am perfectly sure Manchester city is champion of Barclay's premier league this session no body going to stop him surely so god bless Manchester city,Ameeeen....:lol:......City fans oyeeeee.
1 Reactions
4 Replies
983 Views
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote. Wanajamii; Wana JF Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wana Jf Katika nchi yetu ya Tanzania tumekuwa ni watu wa kubadilisha makocha kila siku iendayo kwa mungu,tumekuwa ni watu wa kuongea sana mdomoni na kuwapangia kazi makocha wetu wa Taifa kwa kile...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari na picha kwa hisani ya mamapipiro blog.. WACHEZAJI wa zamani waliopata kuichezea timu ya soka ya Simba, Zamoyoni Mogella ‘Golden Boy' (kushoto) na Boniface Pawasa wamewaasa wachezaji...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ushindi huo mnono katika historia ulipatikana juzi Jumapili, 4 Machi katika mechi ya raundi ya 32 ya kombe la Nedbank kati ya Mamelodi Sundowns na timu ya daraja la nne ya Powerlines FC huko mjini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom