madudu ya tff"Sofia Mwasikili"akosa itc ya kukipiga uturuki.

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
kuna taarifa kwamba yule mwanadada wa twiga starts SOFIA MWASIKILI ameshindwa kucheza mpira Uturuki kisa eti ftt imemnyima itc,mwenye taarifa kamili afunguke hapa.
 
Jamani pale TFF hakuna kitu. Fikiria sababu walizotoa Wamisri na Warwanda kugoma kuahirisha mechi za Simba na Yanga mie naona zilikuwa za msingi na si ubabaishaji kama zile zilizotolewa na viongozi wetu watukufu wa TFF. Yawezekana ITC ya huyu mdada watu wanataka mshiko kwanza.
Yes,inawezekana itc imekwenda too late mkuu.
 
Amekuja kubadilisha viza yake, ambapo sasa atakuwa na viza ya SPORTS, na soon atarudi Uturuki kuendelea na Game.
sophia-1.jpg
 
TFF kama kweli sijui mtatueleza nini watanzania na kufikiria kwenu kwa matumbo na masaburi
 
Hahahaha viongozi wa mpira Tanzania hamna kitu, hiyo Taifa Stars yenyewe yani bora liende. Jana niliangalia stars ikicheza yaani hamna kitu kabisa!! hatuendi Sauzi wala popote. Sisi wa hapahapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom