mashabiki wa liverpoolfc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashabiki wa liverpoolfc

Discussion in 'Sports' started by babuu Jr ludovic, Feb 24, 2012.

 1. b

  babuu Jr ludovic Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baada ya miaka mingi kupita bla ya kupata ubingwa sasa naona mashabiki wa kweli wa liverpool ndoto ze2 za kupata huo ubingwa unakaribia hiyo jumapili 2takapo cheza fainali ya carling cup na cardiff city pale wembley ijapokuwa kombe lenyewe la kuku hvo hvo angalau 2lchukue
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  isije ikawa ni baadae sana..
   
 3. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu, wewe ni mshabiki wa Liverpool kweli?! Mbona kule kwenye uzi wa Liverpool hatukuoni???
  Fainali ya Jpili itakuwa ngumu kweli, pressure itakuwa juu ya Liver maana ndio wanaopewa nafasi kubwa zaidi.. na Cardiff siyo warahisi kihivyo...
   
 4. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Lazima tuubebe. Maana ukame ulizidi anfield, bora tuondoe nuksi
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata la FA litatuhusu kwa 99% na piga kimya na utaliona.
   
 6. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,741
  Trophy Points: 280
  kombe ni kombe...halafu itakuwa timu ya kwanza england kunyakuwa KOMBE msimu huu (angalia msisitizo wa neno "kombe" maana kuna watu wanaweza kuanza kuchanganya masomo hapa!).
  hao akina manure, chelski, gooners, mansex waendelee kusubiri tu...na miongoni mwa hawa (siwataji) wao ndio kama tayari kwishnei kabisa!
   
 7. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,992
  Likes Received: 3,741
  Trophy Points: 280
  nikiangalia timu zilizosalia FA cup, kuna uwezekano nalo likatua anfield!

  halafu kwa jinsi king kenny (kocha wa mataji) anavyoendelea kusuka kikosi, msimu wa 2013/14 taji la ligi la 19 litatua anfield. msimu huu na ule ujao (2012/13) waache akina mahela (mansex) waendelee na baiskeli yao ya migomba!
   
 8. b

  babuu Jr ludovic Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna k2 kma hcho this time lazma 2lbebe m2 wangu
   
 9. b

  babuu Jr ludovic Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me liverpool damu sema kwenye hyo page bado cjakuwa member kama vp ni add au nielekeze ntalpata wap....then hyo fainal itakuwa ngumu ila naamn 2naweza lichukua usihofu
   
 10. b

  babuu Jr ludovic Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona enhee ngoja 2ondoe nuksi then lile la FA nalo le2 ucjal wala nn
   
 11. b

  babuu Jr ludovic Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lazma kaka li2husu
   
 12. b

  babuu Jr ludovic Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahaha am proud of ma team thus y i'll never walk alone....ths tyme FA and CARLING yanatuhusu
   
 13. b

  babuu Jr ludovic Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u ar right kaka
   
 14. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona iko hapahapa mkuu?! Itafute 'Liverpool fc, special thread' samahani kuwa sina namna nzuri ya kukuelekeza.. lakini utaiona kwenye jukwaa hilihili la michezo.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wakubwa!

  Washabiki tuliochagua timu nzuri ktk hali ya ushabiki tukajikuta tukiwa ktk wakati mguu na hali si hali nikakumbuka hili neno kwenye chata ya Club:

  "YOU'LL NEVER WALK ALONE"

  Maneno haya yananifarijigi Mi binafsi sana na ndiyo ikanifanya nikabaki ktk hali ya kuipenda Club yetu na kudumu ndani yake mpk hivi sasa tulielekea ktk kunyakua bila shaka vikombe viwili na kusaka nafasi ya kukipiga UEFA next season!

  NINA SWALI JAMANI!

  Hv mechi ya kesho tukichukua hilo komba la Calling,na tukawa nafasi ya 4 ktk msimamo wa leage kuu. Je? Itakuwa tunacheza UEFA kubwa na ndogo?

  Nauliza hivyo kwa sababu pale Uingereza sheria yao ya soccer inampa nafasi bingwa wa Calling kucheza Uefa ndogo. Na sasa nina IMANI tunaweza kukwea nafasi ya 4 bila shaka.

  Kwa anayejua vema hili atunyambulie itakuwaje!

  Pamoja Wadau!!
   
 16. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni UCL, ndo ruksa kucheza tukiwa wa 4..issue kama hii ilitokea kwa Man City msimu uliopita..
  Timu zinazotakiwa kucheza Uefa ndogo kama sijakosea ni:-
  1.Wa 5 EPL
  2.Timu yny nidhamu
  3.Mabingwa wa Fa
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Na je? Ikatokea tukachukua kombe la FA,na hapo hapo tukiwa na ya CALLING itakaaje hili?

  Kama una unyambulisho kwa hapo nijuze nifunguke Kamanda!

  Asante Kamanda!
   
 18. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  mashabiki wote wa liverpool ni wajinga na wehu pia.
   
 19. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  ujinga wetu huko wapi? Aibu itakupata
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa!

  Kwa jina unalotumia,matamushi uliyotoa haifananini na jina unatumia!

  Hebu rudia tena maneno yako!
   
Loading...