Stars/Msumbiji Live update!

Game inaanza saa ngapi? maana mi natoka job 5:00 PM je nitawahi?

kick-off time saa kumi kamili juu ya alama, foleni njiani utakuta game is over!

Kocha Paulsen ameingia uwanjani kukagua uwanja, sasa kawafuata vijana wake waje kupasha misuli. Ila anaonekana ana mawazo sana, 'keshapoteza mchezo' psychologically!

Muda huu jopo la marefa linakagua uwanja. Fanyeni fasta muwahi jamani!!
 
taifa stars akishinda leo najiuzuru kuingia JF for 1 week.....LAZIMA MFUNGWE.....
 
Mashabiki wa Msumbiji zaidi ya mia tatu wameshaingia kuishangilia timu yao, wamebeba vibendera, ngoma na vuvuzela za kumwaga. Wanatumbuiza kwa sindimba, mashabiki wa bongo wanazomea kwa sana.

Kazi ipo, LEO STAZ USHINDI NI LAZIMA!

STAZ 0 - 0 MZUMBIJI
 
kama ni STARS ya Poulsen basi itakuwa mwujiza kwani babu hana mujiza kwake kila kitu ni kiza. Alipoomba contract alidhani soka la Africa ni la viwete/rahisi. Hana jipya Maximo COME BACK
 
Hahahaha

Hii timu yetu kwakweli haina maandalizi yeyote! na Samatta hayupo sasa kaazi kweli kweli.

Samatta aliwafunga Algeria, Akaenda kuwafunga Chad mwisho nikasikia eti hajitumi mwe!
 
Hahahaha

Hii timu yetu kwakweli haina maandalizi yeyote! na Samatta hayupo sasa kaazi kweli kweli.

Samatta aliwafunga Algeria, Akaenda kuwafunga Chad mwisho nikasikia eti hajitumi mwe!
hakuna cha samata wala nanui arifu......wachezaji stars hakuna anaejituma ni kama wamerogwa.....mazoezi hawafanyi iweje washinde bana......

nashabikia msumbiji.....
 
kick-off time saa kumi kamili juu ya alama, foleni njiani utakuta game is over!

Kocha Paulsen ameingia uwanjani kukagua uwanja, sasa kawafuata vijana wake waje kupasha misuli. Ila anaonekana ana mawazo sana, 'keshapoteza mchezo' psychologically!

Muda huu jopo la marefa linakagua uwanja. Fanyeni fasta muwahi jamani!!

huyu kocha ni kama mgonjwa bwana yaani havutii kabisa kuwa kocha...yaani yuko kama mateka kwa jinsi alivozubaa
 
hakuna cha samata wala nanui arifu......wachezaji stars hakuna anaejituma ni kama wamerogwa.....mazoezi hawafanyi iweje washinde bana......

nashabikia msumbiji.....

TZ hatuna timu hapo ni kusindikiza tu ..yaani ni uwendawazimu kushabikia Taifa stars....Mambo yote msumbiji nikaone gonga za kufa mtu
 
Msumbiji wanaingia uwanjani, wamakonde wanashangilia utasema hili game linapigwa Mozambique, mweee...!?!?? Washabiki wa bongo wanawaonea gele wameanzisha vagi kwenye majukwaa ya simba!!! Duh, imebidi wahame, aiseee!!
 
Hiyo Avatar ya Yoyo nilifikiri mdudu kaingia kwenye comp yangu nikaanza kuikagua dah
 
kwa wale mnaotoka mjini kuelekea uwanja wa taifa pitieni barabara ya kilwa road ukifika jkt pita barabara ya mgurani hadi uwanja wa taifa. ukipitia uhasibu utakutana na foleni ya magari yatokayo bandarini. sasa hivi mandela road ina magari makubwa mengi yatokayo mkoa na kwenda mkoa.
 
Hiyo Avatar ya Yoyo nilifikiri mdudu kaingia kwenye comp yangu nikaanza kuikagua dah
bwahahah relax arifu....leo msumbiji anawapiga za kutosha......wewe tangu lini mpira ukachezwa mdomoni na leaders club nana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom