Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

kila la heri wazee wa jangwani kwenye bwawa aka mafuriko.. soon tutawawekea streams za chanel za kiarabu humu: enjoy
0 Reactions
45 Replies
5K Views
wananchi na wana JF kwa ujumla Kuna mechi muhimu sana inaendelea katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam na mpaka sasa yanga iko mbele kwa bao moja bila.hii ni mechi ya kutafuta klabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mwinyi kazimoto anaipatia simba bao la kuongoza hapa kigari
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu tuweke pembeni tofauti zetu. Mafanikio ya klabu yoyote ni sifa kwa taifa, japokuwa kwa upande fulani itakupain. Tuweke tofauti zetu kwenye vodacom ligi. Mungu zibariki simba na yanga...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo ni zile mechi za kimataifa ambazo zitazechwa na vigogo vyetu vya soka hapa nchini Tanzania. Yanga itakuwa nyumbani kucheza na Zamalek ya Misri katika kombe la Klabu Bingwa wakati simba itakuwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jangwani wananishangaza sana na staili yao ya kushangilia ,kuna uhusiano gani kati ya Jangwani na CCM? heri mimi nitabaki kuwa mshabiki wa Manyema United ... :lol:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kama mdau wa michezo natafuta Jezi ya zamaleki ili nikawashangile vizuri siku yajmosi watakapocheza na YeboYebo!
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa? Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa na takribani juma moja limepiti toka ZAMBIA kutangazwa mabingwa wapya wa soccer barani Afrika nadhani sio vibaya tukijikumbusha vipaji vipya vilivyojitokeza wakati wa mashindano haya,mimi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Joseph Haule 'Prof J', amewataka Watanzania kuweka utaifa mbele kwa kuishangilia Yanga katika mchezo wake na Zamelek utakaopigwa Februari leo jioni. J...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
zamalek piga hao yeboyebo! wao walishangilia mazembe walivocheza na simba.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nani anaweza kutupatia the best line up of all times ya Stars stars......
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mpira ndo unakaribia kuanza. leo sijui nani ataibuka mshindi. porto wanaongoza ligi ya kwao. wameshinda mechi tano mfurulizo huku wakiruhusu goli moja tu. manchester city na wao wapo kamili. hapa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hadi sasa hivi Asernal wameshalizwa goal moja, goli limefungwa dakika ya 15 na Boateng. Mpira unaonyeshwa ATN...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
huyu jamaa ni mpenzi wa man utd,lakini anapokuwa anachambua mechi huwa anaonyesha mapenzi ya wazi wazi mno,kila ki2 utasikia pale ingejuwa man utd/ferguson!wachambuzi wote huwa wana mapenzi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
list mpya imetangazwa leo na TANZANIA YETU imeshuka kwa nafasi mbili zaidi hadi 139.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
In one of the most touching moments of the final, Zambian coach Hervé Renard gave his winners medal to Zambian FA president Kalusha Bwalya, who only survived the fateful crash as he was playing...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Nashangaa kuona mtu tena aliyejijengea sifa sana kama Shafii daudi, kila kukicha haishi kuliponda soka la bongo, unajua watu kama hawa sometimes inageuka kuwa kero kwa sisi mashabiki hasa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Mod. Napendekeza u-sticky pia topic ya Real Madrid kama walivyotendewa haki washabiki wa timu nyinginezo za majuu. (Binafsi siioni katika topics zilizopo).
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom