Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More usisahau ku like tu KAMA WEWE NI MPENZI WA MANCHESTER UNITED
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunasikitika sana na huyu kocha wetu kutuwekea kina phil jones, clevery...leo tumechemsha 1-0.
0 Reactions
0 Replies
879 Views
wachezaji wa kibongo wanahitaji semina elekezi ili wafike kama wengine..... hawana nidhamu ya mchezo hawana nidhamu binafsi mdfano angalia kwenye hii tube..dakika 7.26...mchezaji huyu namba 5...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Just sending out word to all you sporty lot about the Tigo Ngorongoro half marathon in Karatu happening this Saturday. The best part, apart from the run, is that it is raising awareness about...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
red card plus penati dhidi QPR babu amekiri ashley young alikuwa offside.HIvi ingekuwa bongo refa angekuwa anatoka kweli?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Baada ya goli la jana alilofunga dhidi ya Getafe katika ushindi wa Barcelona wa mabao 4-0,Lionel Messi amefikisha mabao 61 katika mashindano yote msimu huu.Sasa anamzidi kwa mabao mawili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu si mtu. Ila ni ndege aina ya mwewe, mali ya timu ya soka ya SL Benfica, yenye maskani yake katika uwanja wa Luz mjini Lisboa, Ureno. Yeye huruka kuzunguka uwanjani na kuja kutua katika nembo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui kwa nini marefa wanapokosea ktk mechi wachezao man utd kila mtu anadai wanapendelewa, lakini makosa kama hayo yanapotokea 'to the advantage of teams other than man utd', watu wana-mute 'as...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakuna pressure bado tuna advantage ya kuchukua la liga na uefa mechi ya valencia bahati haikuwa kwetu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naomba mnijuze ilivyokuwa mpaka mwamuzi alivyoamua kumshushia kipondo mchezaji ktk ligi ya DRFA hii inasikitisha sana kama sio kuchekesha wa Tanzania tuna vijimambo sana
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Wakuu leo j3 ya pasaka niko nyumbani nikiwa napitia gazeti la mwananchi nimekutana na habari iliyo nifanya niandike hapa. Katikati ya gazeti kuna jarida la mwananch 2 ambalo ni maalum kwa habari...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa za mapokezi ya wanamsimbazi leo alfajiri atujuze hali imekuwaje
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Antonio Cassano anamfanyani tena Strasser?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kesho ndo kesho ni kivumbi kikali kati ya Arsenal(the gunners) na matajiri wa jiji la manchester (manchester city) unafikiri hii mechi itaishaje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mikel Arteta: "Well, the result was so important, Chelsea won yesterday against Wigan while Newcastle have been very consistent over the last few games as well and Tottenham are still there, so...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
MWANAMICHEZO na mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewji hivi karibuno alielezwa kukunwa na mafanikio ya timu ya Soka ya Taifa ya Zambia`Chipolopolo', na kuthibitisha furaha yake kwa kumpatia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
What do Kenenisa Bekele, Tirunesh Dibaba, Derartu Tulu and Fatuma Roba have in common, apart from being Olympic gold medal-winning runners? They all come from Bekoji in Ethiopia – and they...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Balotelli akiri kutoka na changudoa wa Rooney Mario Balotelli LONDON, ENGLAND NYOTA mtukutu wa Manchester City, Mario Balotelli, wiki hii ameibuka na kuanika hadharani kwamba aliwahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani sana kwa wale wenye kutawaliwa na jaziba. naomba nijibiwe swala langu hili linalonisumbua. Toka nizaliwe mpaka leo kila nionapo picha ya Bikra maria huwa naona vazi lake ni Hijabu, lakini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…