MTUNZA AMANI
Senior Member
- Jun 2, 2012
- 187
- 21
Leo simba imeshuka dimbani kumenyana na City stars ya Nairobi. Mpambano huo unafanyikia jijini Arusha ktk uwanja wa Amri Abeid. Hii ni mechi ya pili kuwakutanisha Simba sc na City stars ambapo ktk mpambano wa kwanza Simba alichapwa 3-1. Je leo watatokaje? Simba wataweza kurudisha au wataongezewa doz. Mpira dakika 90 tusubiri mchezo.