Malipo ya duni ya waamuz wa soka chanzo cha kudidimia kwa soka letui | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya duni ya waamuz wa soka chanzo cha kudidimia kwa soka letui

Discussion in 'Sports' started by Munyigumba, Sep 5, 2012.

 1. M

  Munyigumba New Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muda mrefu sasa wadau wa soka wamekuwa wakilalamika kiwango kibovu cha soka nchini Tanzania na kutupia lawama kwa viongozi wa vilabu,makocha na wachezaji lakini kuna jambo moja ambalo hawajalifanyia uchunguzi wa kina nalo ni kuhusu waamuzi ambao kiwango chao cha malipo kwa mchezo kipo chini mno kiasi kwamba wanapochezesha mechi za ugenini huwa ni rahisi kukubali hongo ili wapate pesa ya kujikimu kimaisha......piga hesabu ya malipo ya shilingi 20,000 na kama muamuzi kachezesha mkoani malipo yake anatakiwa kuja kuchukua DSM sasa atumie nauli kutoka mkoani kuja Dar kuchukua 80,000 ya mdhamini wa ligi kwa nauli yake na kujilipia hotelini anabaki na nini?huyo apewe mechi kubwa kweli atakataa mlungula?nipeni maoni yenu wadau.
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono na mguu hoja na malipo hayohayo madogo ndo yalikuwa chanzo cha bwana Israel Mujuni Nkongo kula mangumi.....eenh kwani siri!!!
   
Loading...