Barcelona wazidi kupanda juu kwenye ligi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barcelona wazidi kupanda juu kwenye ligi

Discussion in 'Sports' started by reignwilliams, Sep 4, 2012.

 1. r

  reignwilliams New Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeona watoto wa Catalunya(La Masia) wakipata ushindi wa goli moja dhidi ya Valencia kupitia Adriano kutoka
  kwa pasi ya Messi katika uwanja wa Nou Camp kufanya Barcelona kuwa mbele kwa pointi 9. Hongera kwao
   
Loading...