Siri ya mabondia yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya mabondia yanga

Discussion in 'Sports' started by LUCIFER, Sep 5, 2012.

 1. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Nawasalimu wana JF!
  Kuna tukio ambalo si la kistaarabu kwenye soka,ingawa watu wa ndondi kwao inaweza kuwa sawa.Kama kuna kumbukumbu wakati ligi kuu ya Vodacom inaishia msimu uliopita kulitokea tukio la wahuni flani ambayo kwa bahati mbaya walibarikiwa kipaji cha kucheza mpira kumpiga mangumi muamuzi I. MKONGO kwa kile walichodai kuwa aliwapendelea Azam ambayo siku hiyo ilitoa kichapo kilichofanya wachezaji hao waingie kwenye fani nyingine 'NGUMI' AMBAYO KUTOKANA NA UCHUNGUZI WANGU HUENDA IPO KATIKA KATIBA YAO...hebu angalia hiyo nembo hapo chini
  nga.jpg
  ukiangalia kwa makini utaona kuna picha ya boxer kwenye nembo hii...baada ya hapo nikajiridhisha kuwa YANGA ni klabu ya MABONDIA na kwamba wao hutumia mbinu yao mbadala wanaposhindwa kucheza,ambayo ni ubondia.Na hiyo ilijionyesha baada ya VIONGOZI WA KLABU HIYO KUSHINDWA KUKEMEA TABIA ILE CHAFU KWENYE SOKA kwa kuona kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume na nembo ya YANGA ambayo inaonyesha dhahiri kuwa NGUMI NI JADI YAO...na hatutakiwa kuwalaumu kina MWASYIKA a.k.a SNAKE boy, CAnnavaro a.k.a Cheka.
  Naomba kuwasilisha
   
 2. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180

  Walichofanya ni uhuni tu ambao hauna uhusiano na logo ya club. Mbona Simba ndio inajulikana kuwa na klabu ya ngumi kabisa, acha tu picha.

  Mimi nitaendelea kuulaumu uongozi wa Yanga uliokuwa madarakani kipindi hicho pamoja na mashabiki wote ambao HAWAKUKEMEA tabia ile.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hiyo nembo wala isikupe hofu, hiyo Young African Sports Club, na sio Young African Football Club, .......................Yanga ni club ya michezo yote, Netball, Football, Boxing, nk, Miaka ya nyuma Tanga walikuwa na timu nzuri sana ya boxing
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine kama hujui kitu ni afadhali kuuliza kuliko kuja na uzi unaodhihirisha matope yaliyoko kwenye ubongo wako,unataka kutuambia Polisi Dodoma walivyomtwanga Mwamuzi wa mchezo wao dhidi ya Azam wana logo ya bondia pia?,tumia kichwa kufikiri ndugu achana na ile kitu nyingine.
   
 5. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,481
  Likes Received: 2,144
  Trophy Points: 280
  mtu asiyejua anachofanya haki yake vibao 2. mi nawapongenza yanga kwa kufunda huyu mjinga wa soka. hata hivyo, kipigo alichopata hakutosha.

  kilibaki cha kwenda kumuonyesha mke wake.
   
 6. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  unaongelea hawa polis wa tanzania?hawa wasio kua na akili?
   
 7. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watanzania kwa ujumla tuwachunge hawa watu ambao wana kauli za kichochezi.Nchi yetu ni ya amani kama mtu anaona kakosewa basi kuna utaratibu wa kisheria sio unaandika mambo ya kiuchochezi hii ni hatari kwa nchi yetu.
   
 8. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mbona pua zinakutanuka na kuongoa maneno yananuka mithili yanatokea 0713?toa hoja mi nlichosema kuna logo ya bondia,kwa hiyo huenda na ngumi mnawafunza,kwa maana hata walipoonyesha uwezo wwao kwenye ndondi hamkuwakanya....sio unatoa toa mapovu tuu
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama huna hoja ni vema kukaa kimya.
   
 10. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nazungumzia wachezaji na Viongozi wa team ya Polisi ya Dodoma,kama hukumbuki vizuri na wenyewe walimtwanga Mwamuzi wa mchezo wao dhidi ya team ya bwana Ndetichia
   
 11. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndo maana nikakushauri kama huelewi uliza utajulishwa maana ya hiyo logo ku'contain picha ya bondia siyo unakuja na assuption zako za ki'masaburiX2 hapa.
  Eti tuwakanye,tuwakanye kwa baya lipi walilolitenda? kumkumbusha Bwana Israel Nkongo namna ya kutumia kwa haki sheria 17 za mchezo wa kandanda? infact mpenda maendeleo ya soka yeyote alipaswa kukipongeza kitendo kile ksbb kiliwatia uoga waamuzi wote njaa waliokuwa wanasali kila siku wapangiwe kuchezesha mechi dhidi ya Azam ksbb walikuwa wanauhakika wa kupata kitu fulani kwa kuipendelea.
   
 12. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nami shagundua simba ni timu ya makafara, ilimtoa kafara mafisango ndo mana ya rangi yao nyekundu yani kunywa damu bada ya kafara
   
Loading...