Huyu Ferguson chizi nini!eti kamsajiri USAIN BOLT!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
 
We chizi ebu gonga hapa ndio utapike matapishi yako mshamba wewe:Stabroek news

tulishazigonga sana links kama hizo kwa mabo mbalimbali na bado yakawa si kweli yakiwemo vifo vya watu maarufu kama gaucho,eddi murfie n.k . acha upungufu wa kufikiria wewe, ivi fifa na uefa na chama cha soka uingereza unafikiri ni kama TFF yenu hapa bongo wakubali na kupitisha upuuzi kama huu. hao ma director wa soka wa man u unafikiri ni wakina rage au bin klebu mkuu. hauna mashiko mkuu, hata uko nchi za nje magazeti ya udaku na blogs za kidaku zimejaa kibao tu. tuliza kichwa WATU NYINYI NDO MNAFANYA NCHI YETU MPAKA LEO IKO NYUMA
 
Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
wewe mwenyewe umesema atampima akiona anafaa atamchukua, sasa hapo uchizi wake uko wapi?
 
tulishazigonga sana links kama hizo kwa mabo mbalimbali na bado yakawa si kweli yakiwemo vifo vya watu maarufu kama gaucho,eddi murfie n.k . acha upungufu wa kufikiria wewe, ivi fifa na uefa na chama cha soka uingereza unafikiri ni kama TFF yenu hapa bongo wakubali na kupitisha upuuzi kama huu. hao ma director wa soka wa man u unafikiri ni wakina rage au bin klebu mkuu. hauna mashiko mkuu, hata uko nchi za nje magazeti ya udaku na blogs za kidaku
naogopa bani.
 
SIO UNAOGOPA BAN! HAKUNA UJINGA KAMA UO KWENYE SOKA LA WINGEREZA HATA SIKU MOJA MKUU, HAYO NI MANENO TU, HATA KWENYE KANGA YAPO. SASA WEWE NA HAKO KAUPEO KAKO FINYU KA KUFIKIRIA KWELI UNA KUBALI HUSAIN BOLT ATACHUKUA NA YA SQUADE YA MAN U?
KWA SIFA GANI ZA KISOKA ZINAZOMFANYA HUSSEIN BOLT ATUE MAN U?

SHIRIKISHA AKILI MKUU, KAMA SOKA NI KUKIMBIA BASI TIMU ZOTE ZINGESAJILI WANARIADHA, NA HATA MICHAEL JOHNSON MAY BE ANGEKUWA AMESHACHEZEAGA BARCELONA, SASA KAMA NI IVYO WATA ANZA KUSAJILI NA WATU WAREFU WA BASKETBALL KWAAJILI YA KURUKA VICHWA, AFU WATASAJILI MABAUNSA KWA AJILI YA BEKI. tulia mkuu
 
acha vijimaneno hajamsajili sema atamuweka kwenye kikosi mwakani kwenye mechi ya mazoezi
 
Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
Kaka umesoma kwenye gazeti la KIU au Ijumaa? Au umesoma kwenye vyombo vya hbari vya ng'ambo ila lugha imekuchenga?
 
Adha uongo Hujui unachokisema toka lini Bolt kasajiliwa Man united? Umechanganyikiwa
 
Ebu tafuteni hii kitu kwenye mitandao,mybe ni man u ya manzese na bolt wa chanika.
 
Back
Top Bottom