HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,344
- 94,505
Wafuatao wamehama timu zao za zamani
Rafael Van Der Vaart
Huyu ametoka Totternham kajiunga na Hamburg Fc ya German kwa miaka 3
Maicon
huyu nae ameenda Mancity
De Jong yeye kasign Milan AC
Scott Sinclair ameenda Man city kutokea Swansea
Dos Santos kajiunga na Real mallorca kwa deal ya miaka minne
Wenmye info zaidi tujuzane hapa