Samatta aibeba tena TP Mazembe...

Samatta aibeba tena TP Mazembe...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Amefunga bao moja kati ya mawili walipoishinda Al Ahli ya Misri hivi punde. Bao lingine limefungwa na Canda. TP Mazembe imejihakikishia nafasi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Ni hayo tu wakuu...
 
Huyu mtoto anatisha kama njaa aise.
Nasikia Congo wanafatilia FIFA ili kupata ufumbuzi kisheria ili wampe uraia then achezee taifa lao kama mkongo man!
 
Duh!Dogo Samata hakamatiki sasa hivi!Safi sana Samatta Keep it up!
 
Kwa sheria za fifa mchezaji anayeweza kubadilisha uraia na kuchezea timu za wakubwa pale tu itabainika kama hajawahi kuchezea timu ya wakubwa ya nchi nyingine kwa nchi kama Kongo yenye watu wenye ufahamu mkubwa wa soka hawawezi kufanya kitu hicho kwani tayari sammata ameshachezea timu ya wakubwa ya Taifa Stars kumbuka kuna wachezaji wengi wenye asili ya kongo wenye uraia wa nchi za ulaya kama ufaransa na ubeligiji na baadhi wamebadilisha uraia uraia baada ya kuchezea timu za vijana za nchi hizo hivyo Kongo hawawezi kufanya kitu kama hicho
 
Huyu mtoto anatisha kama njaa aise.
Nasikia Congo wanafatilia FIFA ili kupata ufumbuzi kisheria ili wampe uraia then achezee taifa lao kama mkongo man!

This will never happen. Kanuni za FIFA ziko wazi.. ukishaichezea timu ya taifa lolote huwezi kuchezea timu nyingine ya taifa hata ukibadili uraia.

Ila Samatta sasa inabidi acheze another level, e.g., ligi za ulaya
 
Ajitahidi akatokezee ufaransa,ubelgiji au uholanzi,,,,,,,
 
Huyu mtoto anatisha kama njaa aise.
Nasikia Congo wanafatilia FIFA ili kupata ufumbuzi kisheria ili wampe uraia then achezee taifa lao kama mkongo man!

Kwenye uraia ni uongo tu....
 
Amefunga bao moja kati ya mawili walipoishinda Al Ahli ya Misri hivi punde. Bao lingine limefungwa na Canda. TP Mazembe imejihakikishia nafasi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Ni hayo tu wakuu...
Samatta anajua wajibu wake; anafaa kuwa mfano wa kuigwa kwa wachezaji wetu hawa kibongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom