Gaucho Gaucho Gaucho!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
929
Hajafa na binafsi yeye mwenyewe anazishangaa hizi taarifa.By the way he is not a dead man!
Yeye ni mzima na sasa hivi yupo club anapata mvinyo na huku toto zimemzunguka kama kawaida yake.
Baada ya kupata taarifa hii ya tetesi first of all niliikumbuka robo final ya Brazil na England jamaa aliwatungua hawa mabishoo goal la faulo mita40.
 
Gaucho mzima,hata mitandao mikubwa na vyombo vya habari vipo kimya
 
jembe kwa sasa namuona ndani ya uwanjani anapiga against corinthan !!
 
Huo mtandao uliosema hivyo ni FAKE!wameandika mwisho kabisa kwamba taarifa zote ni fake kwa asilimia mia
 
Hajafa na binafsi yeye mwenyewe anazishangaa hizi taarifa.By the way he is not a dead man!
Yeye ni mzima na sasa hivi yupo club anapata mvinyo na huku toto zimemzunguka kama kawaida yake.
Baada ya kupata taarifa hii ya tetesi first of all niliikumbuka robo final ya Brazil na England jamaa aliwatungua hawa mabishoo goal la faulo mita40.

Pia kaitwa kikosi cha Brazil.... he is incredible... mabishoo wengine watapiga kelele lakini the guy ni kipaji asilia!!!
 
QUOTE=mandieta;4550436]Hajafa na binafsi yeye mwenyewe anazishangaa hizi taarifa.By the way he is not a dead man!
Yeye ni mzima na sasa hivi yupo club anapata mvinyo na huku toto zimemzunguka kama kawaida yake

Baada ya kupata taarifa hii ya tetesi first of all niliikumbuka robo final ya Brazil na England jamaa aliwatungua hawa mabishoo goal la faulo mita40.[/QUOTE]

Hapo kwenye red inanikumbusha mbali!
 
Dk 56 Corinthians 0-0 Atletico MG
GAUCHO ndani ya dimba na akigawa mpira kama kawa vile!

Hbr hii sikuitaka niikute humu kbs!
Dhinho yuko njema wa afya njema kabisa!
Shindwa pepo kabisa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom