TFF kumpa Mayanga timu ya taifa wametumia kigezo gani?

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Kama ni swala la kiufundi tunajua wazi hana uwezo huo. Kama ni swala umaskini wa TFF kwa kisingizio kocha mzalendo, mbona wapo wazalendo wengi wazuri kuliko yeye.

Je nini malengo ya TFF kwa timu ya Taifa?
 
Back
Top Bottom