Hawa wachina hawa wanataka kufanya nini na soka la hii dinia

Eliamini

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
604
728
Chinese club to offer Alli bonkers $1m per WEEK

A number of Chinese clubs are willing to offer Tottenham midfielder Dele Alli $1 million a week to move to their Super League. They are willing to splash out an annual salary of $52m (£42.3m) to tempt him to leave England.

Source: ESPN
Friday, January 6, 2017 20:15
 
CSL wanakazi sana kuifanya ligi yao ipendwe na watu kumbuka uingereza wamefanya research muda mrefu sana mpaka leo hii tunaona matunda yake. Kila kitu kilianza kwa research sio kununua wachezaji kwa bei mbaya ndo ligi ivutie no! ukiona hata viwanja vya mpira havijai na hapo ndo utajua kwamba hii ligi bado sana na kama ligi yako unataka ipendwe anza kuipenda mwenyewe kabla ya wengine kuipenda. Shabiki unamkuta kavaa t-shirt ya manchester united na ameacha kwenda viwanjani kushuhudia mechi yeye yuko busy anacheck game la man u kwenye tv. Ndo ujue kuwa england wamefanya research kwanza na kufanikiwa kutoboa mpaka china kwenyewe.
 
Umejuaje km na wao hawajafanya research?labda ndio washaanza kufanyia kazi research yao
 
Back
Top Bottom